PAPAA JIWE
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 866
- 151
Yani ajiandae!2kuridi chuo
wana Udsm 2nakufa nae!mpaka sasa wiki inaenda ya 5 ha2japata hela ya
field!Halafu kashirikiana na waliomuweka ku2sainisha fedha hewa!
Sasa kwanini uli-sign..?!
Yani ajiandae!2kuridi chuo wana Udsm 2nakufa nae!mpaka sasa wiki inaenda ya 5 ha2japata hela ya field!Halafu kashirikiana na waliomuweka ku2sainisha fedha hewa!
Sisi enzi zetu tulikuwa tunakopeshwa na HESLB, nashtuka kusikia nyie mnakopeshwa na chuo!!
Kwa maelezo yako ndo nimeelewa kwanini kaamua kutumia tax badala ya v8.
Inaelekea hata yeye hajaingiziwa mpunga na si ajabu ukute hapo ameingia mkataba na dreva tax anampeleka bure hadi bum litakpoingia ndo amtoe chake.
we ulishamuona akichepuka????
Hivi huu uongozi wa chuo unakuaga miaka mingapi mingapi per term..?
Aisee.., we utakuwa shushushu.., sio bure..!Uongozi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam una hadhi moja na uwaziri au zaidi kidogo ya uwaziri. Marupu rupu yake ni over ya waziri assuming hakuna anayeiba au bila ufisadi. duration ya kile kiti kinategemea whims za mpangaji wa Magogoni kwa wakati huo. mkiwa mnaiva utapainjoi. kama hamuivi imekula kwako. UDSM ni torfauth na vyuo vingine vyoote ndio maana pana zaidi ya mashushu mia na ushee. na kila siku mpangaji wa mahogoni lazima apate ripoti ya Mlimani.
Mkuu tukikuta wapiga soga vijiweni wanasema wewe ni gasho unataka tuwaamini kwa maneno yao?