Prof. Muhongo vs Dr. Mwakyembe kuna jipya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Muhongo vs Dr. Mwakyembe kuna jipya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shungurui, Jul 29, 2012.

 1. shungurui

  shungurui JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2008
  Messages: 1,592
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  kwa yaliyotokea bungeni hivi karibuni yanasikitisha na yanatia aibu na inaonyesha tuna bunge ambalo halipo yaani kiini macho.

  Na kama kuna mgeni atakuwa alitazama bunge atasema kwamba watanzania hatuna uwezo wa kufikiri kwa mapana zaidi, na pia hatuna uwezo wa kutunza kumbukumbu.

  Hivi Dr.mwakyembe si alifanya haya haya tena mpaka waziri mkuu akajiuzuru? kamati ikatoa mapendekezo kibao kuitaka serikali ya kikwetehuyu huyu na si mwingine iyatekeleze lakini hakuna kilichofanyika. matokeo yake kawa waziri katika serikali hiyo hiyo dhaifu.

  kwa kweli wadanganyika tunatia hasira sana.

  Wengi kwa uvivu wetu wakufikili tunafuata upepo naushabiki wa kisiasa bila kujua kwa kufanya hivyo tunaingiza inchi yetu zaidi katika dimbwi la umasikini.

  ukitaka kumuua nyoka kwa urahisi mkate au mponde kichwa chake.
  silly people.
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,813
  Likes Received: 1,057
  Trophy Points: 280
  profesa muhongo nae alikuwa mwenyekiti wa kamati fulani?
   
 3. hodogo

  hodogo JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 239
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nijuavyo mimi siasa za kutaka sifa ni siasa mbaya sana! Nina imani na Prof. Muhongo, naamini hasemei sifa ameona njia ambazo majigambo yake yanatekelezeka! Binafsi namtia moyo. Singependa kumlinganisha na Mwakyembe kwa maana wawili hawa wanahusika kitofauti katika majukum yao. Wakati Mwakyembe alitumwa na kuwasilisha taarifa yake kwa waliomtuma kisha kupendekeza nini anadhani kikifanyika kitaleta suluhisho, Prof. yeye ndo msimamizi wa yale yote aliyoahidi yatatekelezwa. Ni matumaini yangu amejipanga vizuri(kiserikali) kutembea katika kauli. Kwa kuwa yeye ni mwanataalumaa aliyebobea, anajua kwamba mambo TECHNICAL hayaendeshwi KISIASA.
   
Loading...