USIRI huu ni kwa manufaa ya WATAWALA na MAFISADI wanayoimaliza nchi.Na Muongo ni mmoja wao,ameonjeshwa ASALI ameamua kuchonga mzinga.
Na kama Wabunge wetu watalinyamzia basi hawana maana kabisa na hawastahili kuwepo BUNGENI,ni moja kwa moja kumpigia PINDA kura ya kutokuwa na imani naye.Iweje Mbunge tena wa kuteuliwa awe na kiburi cha ina hii?Na ni msomi sasa angekuwa hajaenda shule ingekuwaje?Hivi hawa wenzetu shule walizoenda ni za kujua kusoma na kuandika tu?
Maana wameshindwa kuondoa UJINGA.:hatari::confused2: