Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,583
Huyu Muhongo anaelekea kubaya, maana anaanza kuchezea tumaini la watanzania (chadema) . Pamoja na u-profesa wake anajifanya hajui maana ya peoplees power!!!!
Yeye amengia madarakani kwa sababu ya peoplees power, aangalie asije akanyea kambi maana ccm ni walewale, wote walianza na dhihaka hizo. Ila ajue bila peoples power anayoyasema ni ndoto.
Mhongo ana siri kubwa sana kuhusu madini yetu, yeye atuambie anamjua vipi Jimmy Sinclair? Mwenye hati miliki ya robo tatu ya kanda ya ziwa......