Prof. Muhongo kutohojiwa na Tume ya Maadili

unanitaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2014
Posts
2,178
Reaction score
1,047
Habari wanajamvii, katika zoezi linaloendelea sasa la kuhoji viongozi waliojipatia mgawo wa rugemalira, profesa muhongo hataguswa na zoezi hilo kwani hakupokea pesa kutoka kwa mtu yeyote. Hii inaonesha kuwa profesa huyu alihujumiwa ili kung'oka katika nafasi ya uwaziri, je watanzania tutakubali kuendeshwa na siasa hizi za chuki na maslahi binafsi mpaka lini?
 
Nina wasiwasi na uelewa wako katika suala la uwajibikaji kazini. Unajuaje kwanza hakupata mgawo? Fedha zilizotoka Stanbic kwenye magunia zilikwenda kwa nani? Ni vizuri ukatafakari kwa kina kabla hujafanya judgement.

Muhongo haku endorse katika mchakato? Bila endorsement yake, mchakto wa wizi ungefanikiwaje? Inakuwaje useme ameonewa?

Weekend njema.

Yeye kama msimamizi alishindwa kusimamia majukumu yake,angekuwa hana makosa asingelazimishwa kujiuzuru,nchi haiwezi kusimama sababu ya Muhongo.Kuzidi kutuletea hapa mambo ya Muhongo eti tuyajadili ni kutupotezea muda ,tuyajadili kwa faida ya nani na tujadili ili iweje?maji yashapita chini ya daraja hayarudi tena.Kama mna uchungu kalalamikeni kwa aliyemteua,na aliyemteua ndio kamuondoa ,raisi wa nchi hii kulingana na uwezo aliopewa kikatiba anaweza kuteua mtu na kutengua uamuzi wa kumteua bila ya kumshirikisha au kumshauri mtu yoyote.Ndio maana tulikuwa tunalilia rasmu ya Warioba na hao hao akina Muhongo,Tibaijuka ndio walikuwa wa kwanza kuipiga teke,leo wametupwa nje ndio wameanza kuona ubaya wa hiyo rasimu,kumbe hawa viongozi wetu hawaangalii maslahi ya nchi bali ya matumbo yao na jamaa zao.Acha kutuletea tujadilimambo ambayo yalishatolewa maamuzi,kwa sasa haisaidii chochote.
 
Habari wanajamvii, katika zoezi linaloendelea sasa la kuhoji viongozi waliojipatia mgawo wa rugemalira, profesa muhongo hataguswa na zoezi hilo kwani hakupokea pesa kutoka kwa mtu yeyote. Hii inaonesha kuwa profesa huyu alihujumiwa ili kung'oka katika nafasi ya uwaziri, je watanzania tutakubali kuendeshwa na siasa hizi za chuki na maslahi binafsi mpaka lini?
Ndio Maana mlimwacha kiporo mpaka kikachacha?
 
Wanaohojiwa sasa ni walipewa hela na Rugemalira tena hela ambazo hazikustahili kuhojiwa kwakuwa Rugemalira alipewa hela za mauzo ya hisa zake na aliempa alitakiwa kumpa hela kutoka mfukoni kwake wala si za Escrow na wala Rugemalira hakupaswa kujua aliempa hela kazitoa wapi.Tunaotaka wahojiwe ni wale waliopewa Hela kutoka kwa Singh kupitia Stanbic.Tena Rugemalira baada ya kuuza hisa zake alilipa kodi.hivyo alikuwa na uhalali Wa kumpa yeyote.HAPA TUNATAKA KUJUA MAJINA YA WALE WALIOPEWA HELA KULE STANBIC TUONE KAMA MUHONGO HAYUPO,PINDA HAYUPO NA HAO WENGINE
 
muhongo si ndio kuwadi wa mchakato.

huyu ni wa kunyongwa kabisa. tanesco inapata hasara mara 3 ya mwanzo katika uongozi wake.

***** zake huyu ndio angekuwa wa kwanza dalali na kuwadi wa wizi
 
Habari wanajamvii, katika zoezi linaloendelea sasa la kuhoji viongozi waliojipatia mgawo wa rugemalira, profesa muhongo hataguswa na zoezi hilo kwani hakupokea pesa kutoka kwa mtu yeyote. Hii inaonesha kuwa profesa huyu alihujumiwa ili kung'oka katika nafasi ya uwaziri, je watanzania tutakubali kuendeshwa na siasa hizi za chuki na maslahi binafsi mpaka lini?

Wewe ni Muhongo mwenyewe nini? Unafahamu maana ya dhana ya uwajibikaji? Huko kulazimishwa kujiuzulu ni hatua ya kwanza. Bado kwenda jela. Ama!
 
Mkuu unaelewa maana ya hasara? TANESCO inatoa huduma kwa umma, fanya tafiti zaidi ujume mchango wa umeme katika uchumi.UMEME NI UCHUMI-BILA UMEME UMASIKINI HAUTOWEKI By Prof. MUhongo.
 
Wewe ni Muhongo mwenyewe nini? Unafahamu maana ya dhana ya uwajibikaji? Huko kulazimishwa kujiuzulu ni hatua ya kwanza. Bado kwenda jela. Ama!

Kwenye taarifa yake hakusema amelazimishwa, alitaka nchi iendelee mbele kwa kasi zaidi.
 
muhongo si ndio kuwadi wa mchakato.

huyu ni wa kunyongwa kabisa. tanesco inapata hasara mara 3 ya mwanzo katika uongozi wake.

***** zake huyu ndio angekuwa wa kwanza dalali na kuwadi wa wizi

Unaelewa maana ya Ukuwadi? Kama umeona kuna sehemu alikosema peleka malalamiko mahakani. Muohongo ni mwadilifu, mbunifu, na mchapa kazi.
 
Hao wanaompinga mhongo ndo baba zao walio ua viwanda tz chagataipu utajili walipata jwa kuua viwanda
 
Ashukuru mungu mgao wake ulijumuishwa kwenye kundi lakina profesa kupitia stanbic bank vinginevyo nae angebananishwa tu.
 
Acha hadithi.za kusadikika wewe hebu rudi kalale ukue kwanza, huna.evidence lala mbele
 
Kwenye taarifa yake hakusema amelazimishwa, alitaka nchi iendelee mbele kwa kasi zaidi.

Ulitegemea aseme alilazimishwa? Ha! Kauli za mkata tamaa. Alikuwa ni kiporo kilicho chacha. He had no option.
 
Nina wasiwasi na uelewa wako katika suala la uwajibikaji kazini. Unajuaje kwanza hakupata mgawo? Fedha zilizotoka Stanbic kwenye magunia zilikwenda kwa nani? Ni vizuri ukatafakari kwa kina kabla hujafanya judgement.

Muhongo haku endorse katika mchakato? Bila endorsement yake, mchakto wa wizi ungefanikiwaje? Inakuwaje useme ameonewa?

Weekend njema.

Najua hajapata kwa sababu hatujaonyeshwa kielelezo chochote kuwa kahongwa kitu chochote, unaelewa maana ya endorsement wewe, acha kupika majungu usiyoyaaamini we kilaza
 
Wewe ni Muhongo mwenyewe nini? Unafahamu maana ya dhana ya uwajibikaji? Huko kulazimishwa kujiuzulu ni hatua ya kwanza. Bado kwenda jela. Ama!

Na wewe ni moja ya mwizi wa vitalu nini, mana huyu.profesa aliwapa wakat mgumu sana mpaka mkiona jina lake mnaweweseka. Jela utaenda wewe na.mumeo.
 
Habari wanajamvii, katika zoezi linaloendelea sasa la kuhoji viongozi waliojipatia mgawo wa rugemalira, profesa muhongo hataguswa na zoezi hilo kwani hakupokea pesa kutoka kwa mtu yeyote. Hii inaonesha kuwa profesa huyu alihujumiwa ili kung'oka katika nafasi ya uwaziri, je watanzania tutakubali kuendeshwa na siasa hizi za chuki na maslahi binafsi mpaka lini?

Jina lake na mkuu was kaya yapo stanbic na yatapatikana baada ya October na watahojiwa
 
muhongo si ndio kuwadi wa mchakato.

huyu ni wa kunyongwa kabisa. tanesco inapata hasara mara 3 ya mwanzo katika uongozi wake.

***** zake huyu ndio angekuwa wa kwanza dalali na kuwadi wa wizi

Mzee una stress sana na maisha, kameze fenesi baso, dalali ni wewe unayemkuwadia mwanao hapo kwa mpangaji.wako.
 
Ashukuru mungu mgao wake ulijumuishwa kwenye kundi lakina profesa kupitia stanbic bank vinginevyo nae angebananishwa tu.
Mkuu mbona unalazimisha sana, alishasema jina lake halipo mahali popote hata hiyo bank unayoisema.
 
Back
Top Bottom