unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,046
TAMKO LA PROF MUHONGO LA KUOMBA RIDHAA YA WANA-CCM NA WATANZANIA WENGINE WOTE YA KUONGOZA TAIFA LETU:
Prof Muhongo atatoa Tamko lake kati ya tarehe 2 Juni 2015. atatoa Tamko lake juu ya Tanzania Ijayo (2015-2025++) kabla ya kuchukua Fomu.
Wana-CCM wanaombwa wajitokeze kumdhamini Prof Muhongo muda ukiwadia. Taarifa hii mpatie mwenzako. TANZANIA YAKO, TANZANIA YETU.