Prof. Muhongo kung'oka kabla ya Bunge kuanza

Status
Not open for further replies.

Handsome Boy 2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
605
Reaction score
152
Habari nilizofikishiwa ni kuwa Prof.Muhongo atang'oka kabla ya Bunge linalotarajiwa kuanza hii ni kutokana na shinikizo kutoka nje na hofu ya Bunge linalotarajiwa kuanza hivi karibuni kutokukalika.
======================

Soma: Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

Chanzo: Mwananchi
 
Prof Muhongo alishasema hivi, mind you huyu ni Prof hatishii nyau
  1. Kama rais atamfukuza kazi kwasababu ya sakata la escrow basi ardhi ya nchi hii itatikisika
  2. Escrow haukuwa mradi wa Prof Muhongo, hata mimi (Prof) niliukuta, kwanini nijiuzulu?!
 
Muhongo anakazi zake nyingi sana za kufanya huko duniani hata akiachia leo uwaziri atarudi kwenda kufanya kazi zake duniani anasubiriwa sana na kuhitajika sana.
 
Acha unanga wewe. Prof Muhongo yupo kwa maslahi ya Watanzania. Nyie mawakala wa mafisadi na madalali mlie tu
 
Prof. Mhongo hakuomba kuwa mbunge, alikuwa na shughuri zake ambazo zilikuwa zizamwingizia kipato kwa hiyo hawezi kujihudhuru mpaka afukuzwe
 
Muhongo anakazi zake nyingi sana za kufanya huko duniani hata akiachia leo uwaziri atarudi kwenda kufanya kazi zake duniani anasubiriwa sana na kuhitajika sana.
Hakika Mkuu. Tena anatuwakilisha vema huko Davos Uswiss
 
Prof. Mhongo hakuomba kuwa mbunge, alikuwa na shughuri zake ambazo zilikuwa zizamwingizia kipato kwa hiyo hawezi kujihudhuru mpaka afukuzwe
Mkuu, hili hawalioni. Hawajui kuwa Muhongo amekuwa mbunge kutokana na umuhimu wa taaluma yake
 
Muhongo anakazi zake nyingi sana za kufanya huko duniani hata akiachia leo uwaziri atarudi kwenda kufanya kazi zake duniani anasubiriwa sana na kuhitajika sana.

Akazifanye kwani kuna mtu kamzuia ila huku kwenye uwaziri hatumtaki
 
Kaogopa kutolewa na kina Lema Sugu na Nassary kwa nguvu.

Chezea nguvu ya umma ndani ya Bunge?
 
Akazifanye kwani kuna mtu kamzuia ila huku kwenye uwaziri hatumtaki

mpaka majuha nao wanajua kuhoji siku hizi kazi kweli,muhongo siyo kituko kama slaa upeo wake uko mbali sana nyie wakaanga sumu hata ukoo wenu wote haufikii.
 
Le Profesary kamuogopa kamanda Lema bungeni

Lema ananini mpaka aogopwe kama vijana wadogo tu pale arusha waliweza kumnanini ataogopwa kwa kipi.
 
Muhongo lazima an'goke kwa njia nzuri otherwise atadhalilika.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…