Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Mhongo amesema kamwe hatafuata ushauri unaohusu gas kwa watu ambao wamehudhuria mafunzo ya wiki moja ya gas na kupata cheti cha mahudhurio 'certificate of attendance' na amekemea tabia ya watu hao kujifanya wanajua sana masuala ya gas kuliko wataalam wenyewe.
Binafsi hili nimeona kama ni dongo kwa ZZK ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa akikosoa utendaji kazi wa Prof Mhongo hasa kuhusiana na sector hii ya gas.
Zitto amewahi kujinasibu kwamba yeye si mtaalam wa madini na gas lakini akasema, namnukuu,
Nimuombe Mheshimiwa waziri si kila ushauri unaotolewa na mtu ambaye si mtaalam wa sector husika basi si mzuri, namuomba aache kurusha madongo kwa watu wanaomkosoa, kiongozi asiyetaka kukosolewa hafai kuwa kiongozi.
Naomba ofisi ya wizara ya nishati na madini isikufanye ujisahau sasa, chukua kukosolewa kama ni challenges za wewe kufanya vizuri. Kama huelewani na ZZK kama mtu lakini chukua ushauri wake.

Sidhani kama Prof. Muhongo alikuwa ananipiga madongo mimi maana mimi sina certificate yeyote ya Oil and Gas. Atakuwa anawasema watu wa CSOs.
Nikiwa Mbunge kazi yangu ni kuisimamia serikali. Sitoi ushauri kwa waziri yeyote yule. Ninatoa hoja kwa mwono mbadala. Waziri ana hiari ya kuchukua hoja zetu kama upinzani au hapana maana sisi tukishika dola tutazitekeleza sera zetu.
Waziri aendelee na juhudi zake za kuhakikisha hakuna mgawo wa umeme nchini na kwamba wananchi wengi zaidi vijijini wanapata umeme kutoka 14%
Ya sasa mpaka 30% waliyoahidi kwenye ilani ya chama chao.
Ikumbukwe tu kwamba huyu ni Waziri wa CCM na tutamhukumu kama mwana CCM mwingine yeyote yule.
Nikiwa Waziri kivuli wa Fedha na uchumi na kwa kutumia taaluma yangu ya Uchumi, Uchumi Biashara (international trade) na Uchumi Madini (mineral economics) nitaendelea kusimamia sera za chama changu cha CHADEMA kwamba rasilimali za nchi lazima zifaidishe wananchi.
Tulisimamia suala la mikataba ya madini wakati wataalamu wa miamba wakiwa kimya na wengine wakiwa ma consultant wa hayo makampuni ya madini na tukafanikiwa kutunga sheria mpya ya madini.
Tumesimamia suala la kuandikwa kwa sera ya gesi kabla Prof. Muhongo hajawa Waziri na tutaendelea kusimamia mpaka tupate sera nzuri itakayojali maslahi ya nchi yetu.
Tutaendelea kukataa uchimbaji wa Uranium mpaka hapo tutakapojiridhisha kwamba usalama wa wananchi wetu umezingatiwa na makampuni ya utafutaji na uchimbaji yanalipa kodi inavyostahili.
kama muhongo anasema hawezi kusililiza mawazo ya wenye certificate of participation iweje tena atumbie amepeleka rasimu kwa wananchi ili watoe maoni yao kuhusu sera ya gas kabla haijawa sheria?
Anakataa ushauri wa watu wenye access na information anasubiri maoni ya watu ambao hata umeme hawana. Prove kwamba hii sio contradiction.
Prof. kaniangusha bana, ameulizwa jinsi tanesco ilivyojiandaa kupambana na hujuma akasema wao hawapigi propaganda ni vitendo zaidi, badala ya angalau kutumegea kidogo jinsi walivyojipanga, lakini baadaye akaanza kutaja njia mpya za umeme wanazojenga (kwa maelezo yake). Hili jibu nalo ni la kimkakati kama ambavyo angejibu swali la kwanza. Contradiction nyingine
Kwenye consumer rights hiyo ni muhimu sana. Tulizoezwa kukatiwa tu umeme bila maelezo mpaka tukafikiri kuwa TANESCO wako juu yetu na ni haki yao kufanya hivyo. Big up Profesa kwa kulisisitiza hili. Tunachosema ni kuwa ukweli bado maboresho mengi yanatakiwa huko TANESCO na hilo amekiri maana mitambo, nguzo n,k ni ya toka karne iliyopita bila matengenezo ya kutosha. Tunahitaji umeme sisi!!Pia amezungumzia huduma za tanesco kwa kusema eti zimekuwa bora zaidi, akatoa mfano kwamba sasa hivi kama umeme utakatika meneja wa eneo husika lazima atangazie eneo lake na kama umeme unakatika ghafla basi lazima awaombe radhi waathirika.
Acha tu prof. Apewe ushauri bana
Sidhani kama Prof. Muhongo alikuwa ananipiga madongo mimi maana mimi sina certificate yeyote ya Oil and Gas. Atakuwa anawasema watu wa CSOs.
Nikiwa Mbunge kazi yangu ni kuisimamia serikali. Sitoi ushauri kwa waziri yeyote yule. Ninatoa hoja kwa mwono mbadala. Waziri ana hiari ya kuchukua hoja zetu kama upinzani au hapana maana sisi tukishika dola tutazitekeleza sera zetu.
Waziri aendelee na juhudi zake za kuhakikisha hakuna mgawo wa umeme nchini na kwamba wananchi wengi zaidi vijijini wanapata umeme kutoka 14%
Ya sasa mpaka 30% waliyoahidi kwenye ilani ya chama chao.
Ikumbukwe tu kwamba huyu ni Waziri wa CCM na tutamhukumu kama mwana CCM mwingine yeyote yule.
Nikiwa Waziri kivuli wa Fedha na uchumi na kwa kutumia taaluma yangu ya Uchumi, Uchumi Biashara (international trade) na Uchumi Madini (mineral economics) nitaendelea kusimamia sera za chama changu cha CHADEMA kwamba rasilimali za nchi lazima zifaidishe wananchi.
Tulisimamia suala la mikataba ya madini wakati wataalamu wa miamba wakiwa kimya na wengine wakiwa ma consultant wa hayo makampuni ya madini na tukafanikiwa kutunga sheria mpya ya madini.
Tumesimamia suala la kuandikwa kwa sera ya gesi kabla Prof. Muhongo hajawa Waziri na tutaendelea kusimamia mpaka tupate sera nzuri itakayojali maslahi ya nchi yetu.
Tutaendelea kukataa uchimbaji wa Uranium mpaka hapo tutakapojiridhisha kwamba usalama wa wananchi wetu umezingatiwa na makampuni ya utafutaji na uchimbaji yanalipa kodi inavyostahili.
Pamoja na mambo mengine, ametahadharisha waTZ kuhusu watu wanaojifanya wataalmu wa Gesi na Uranium kwa kuwa tu wamehudhuria kozi za mambo hayo za wiki tatu na kupata "CERTIFICATE OF ATTENDANCE", ila hawajui lolote juu ya mambo hayo!
Pia hakuna kitu kinachoitwa Mgao wa umeme (Power rationing) kwa kuwa uwezo wa kuzalisha umeme ni mkubwa kuliko hata mahitaji ya siku! hitaji la juu kabisa ni Megawati 850 lakini wanazalisha MEGAWATI 1000+, kwa hiyo kwa hali hiyo hakuna mgao!
Pia kasema EWURA na TANESCO walikuwa na mpango wa kupandisha gharama za umeme January mwakani, amewapiga STOP! kwa kuwa hawana sababu kwani hata madeni ya TANESCO serikali inawalipia!!!!!
Kasema pia ili kuondoa hiyo sura ya "mgao", inatakiwa viongozi wa TANESCO mahali mahali wawe na utaratibu wa kutoa taarifa umeme ukatikapo ama kabla ya kukatika, na kueleza sababu za kukatika! Hii kitu kweli hawa jamaa huwa hawafanyi!
La mwisho nililopata ni kwamba, haka ka sura ka "mgao" kanaonekana kuna watu wanakafurahia kwa sababu za kisiasa, kiuchumi(wana maslahi yao- business), ama chuki binafsi! yaani wanakalazimishia kaonekane kapo kumbe maskini hata hakuna mgao wa ukweli!!!!
Yangu ni hayo tu mkuu
Nimependa approach yako dhidi ya tuhuma mbalimbali mh. Zitto......haswa hii issue na huyu waziri wa nishati na madini.....Once again naomba sana sana kwenye session hii ya bunge hili ujipambanue dhidi ya wanafiki wa ccm......nikimaanisha kwamba...ebu nyie CDM jitahidini muwezavyo ku challenge maamuzi ya speaker makinda kuhusu ile ripoti ya Mbwilizi.....Nasema hivi nikikumbushia kuwa kabla ya kuundwa kwa ile tume kulikuwa na uvumi mkubwa kwamba wewe mh.Zitto umehusika na issue za kifisadi na tanesco.....mambo yaliyotokana na wewe kuonekana kumtetea Mhando(ex MD wa tanesco).......nasema hivi nikikumbushia pia uvumi wa magazetini usemaoo kwamba ripoti ya Mbwilizi haitasomwa na kujadiliwa bungeni.....eti vile kuna uvumi kwamba imevuja na baadhi ya watuhumiwa(probably nawe ukiwamo)wamesafishwa...na wengine (kama waziri Muhongo na naibu wake)wamekuwa implicated.....Sasa ingekuwa vizuri sana kama ukweli wa ripoti hii ungejulikana kwa watanzania kw kupitia hoja zenu bungeni....kwa maana ya kuetetea mjadala wa ripoti hii....maana inaonekana hawa ccm watataka wafiche uchafu wao kwa kutosomwa kwa ripoti.......what is your take on this matter mh.Zitto!Sidhani kama Prof. Muhongo alikuwa ananipiga madongo mimi maana mimi sina certificate yeyote ya Oil and Gas. Atakuwa anawasema watu wa CSOs.
Nikiwa Mbunge kazi yangu ni kuisimamia serikali. Sitoi ushauri kwa waziri yeyote yule. Ninatoa hoja kwa mwono mbadala. Waziri ana hiari ya kuchukua hoja zetu kama upinzani au hapana maana sisi tukishika dola tutazitekeleza sera zetu.
Waziri aendelee na juhudi zake za kuhakikisha hakuna mgawo wa umeme nchini na kwamba wananchi wengi zaidi vijijini wanapata umeme kutoka 14%
Ya sasa mpaka 30% waliyoahidi kwenye ilani ya chama chao.
Ikumbukwe tu kwamba huyu ni Waziri wa CCM na tutamhukumu kama mwana CCM mwingine yeyote yule.
Nikiwa Waziri kivuli wa Fedha na uchumi na kwa kutumia taaluma yangu ya Uchumi, Uchumi Biashara (international trade) na Uchumi Madini (mineral economics) nitaendelea kusimamia sera za chama changu cha CHADEMA kwamba rasilimali za nchi lazima zifaidishe wananchi.
Tulisimamia suala la mikataba ya madini wakati wataalamu wa miamba wakiwa kimya na wengine wakiwa ma consultant wa hayo makampuni ya madini na tukafanikiwa kutunga sheria mpya ya madini.
Tumesimamia suala la kuandikwa kwa sera ya gesi kabla Prof. Muhongo hajawa Waziri na tutaendelea kusimamia mpaka tupate sera nzuri itakayojali maslahi ya nchi yetu.
Tutaendelea kukataa uchimbaji wa Uranium mpaka hapo tutakapojiridhisha kwamba usalama wa wananchi wetu umezingatiwa na makampuni ya utafutaji na uchimbaji yanalipa kodi inavyostahili.
kwani kiongozi bora anatakiwa awe ni mjinga asiyejua kusoma na kuandika na asiyekua mtendaji na asiyetaka matokeo?HAKUNA KITU HUYU NI MSOMI MTENDAJI ANAYEPENDA KUONA RESULTS.
Hataki mambo ya siasa? Mbunge hataki mambo ya siasa, kwani sasa hivi anajishughulisha na mambo gani, biashara ya dagaa?YEYE MWENYEWE NINA HAKIKA HATAKI KABISA HAYA MAMBO YA SIASA.
Mbona hakuna neno Zitto hapo??Anasema hakuna haja ya kuwa na mambo ya umeme wa dharura kwani ndio chanzo cha ufisadi. Asisitiza hakuna na hakutokuwa na mgao wa umeme. Asema kila mtu anaongelea mambo ya gesi,hata wasiokuwa na utaalamu wanaongelea kama wataalamu na hivyo wanapotosha umma. Kwa hayo na mengine mengi angalia ITV saa 3 usiku leo,kipindi cha dakika 45.