Mkuu, ITV huwa wanatoa vidokezo kwani hiki kipindi huwa kimerekodiwa kabla ya kurushwa hewani.Umejuaje kama atasema hivyo BAADE? Au ndio yale ya JF imekua shimo la uchafu?
Mkuu, ITV huwa wanatoa vidokezo kwani hiki kipindi huwa kimerekodiwa kabla ya kurushwa hewani.
Wadau samahani kwa kusema LIVE. Ni kwamba ITV wamerusha vidokezo vya kipindi hicho kitakachorushwa hewani saa tatu usiku wa leo.
Ebu badili heading yako mwenzio nikaenda ITV nkakuta mziki umeniboa
Ila nashukuru kwa kunikumbusha icho kipindi maana uyu mheshimiwa huwa namkubali sana he is a professional not a politician
Wadau samahani kwa kusema LIVE. Ni kwamba ITV wamerusha vidokezo vya kipindi hicho kitakachorushwa hewani saa tatu usiku wa leo.
Wadau samahani kwa kusema LIVE. Ni kwamba ITV wamerusha vidokezo vya kipindi hicho kitakachorushwa hewani saa tatu usiku wa leo.
Mbona una mchecheto subiri mwana JF vuta Subira uwe na Subira usikie atakayosema mkombozi anayetuepusha na mgawo wa umemeHatakuja na jipya am telling you, kiapo kinasema kuwa atatunza siri za baraza la mawaziri na atakuwa mtiifu kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania so usitegemee jipya ni zilezile kelele za kila siku
Kutojua si makosa, inawezekana kuwa wengine hatukusomea miamba lakini tumesomea masuala ya kodi kwenye madini na mafuta. Waziri makini anayejali nchi yake anawezaje kukutana na mwekezaji anayekataa kukulipa kodi yako bila wewe hata kuulizia utalipwa lini?