GE2025 Prof Mkumbo: CCM inaogopa rushwa, CCM pia inapambana na rushwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
CCM wanatuletea maigizo matupu kwenye hili suala! Rushwa imeshamiri kila kona ya nchi, halafu bado wanathubutu kudai kwamba wanapambana nayo.

Swali la msingi ni: wanapambana kivipi, au wanatuzuga tu?
=============

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi Kimekuwa kikipinga rushwa na kupiga vita Rushwa hivyo anayesema CCM haizungumzi kuhusu Rushwa haijui vizuri CCM na hio imekuwa ni ajenda ya Mgombea Urais wa CCM.

Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha Rushwa inapigwa Vita.

..thubutu!!

..kwani hatukuwaona mafisadi papa wakichangia BILLION 100 kwa ajili ya kampeni?

..Je, ile haikuwa RUSHWA ukizingatia Ccm tayari inapokea mabilioni toka kwa Msajili wa vyama?
 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi Kimekuwa kikipinga rushwa na kupiga vita Rushwa hivyo anayesema CCM haizungumzi kuhusu Rushwa haijui vizuri CCM na hio imekuwa ni ajenda ya Mgombea Urais wa CCM.

Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha Rushwa inapigwa Vita.
Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha Rushwa inapigwa Vita.😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 au alimaanisha rusha roho?
 
Hivi hawa jamaa kabla ya kutoa haya matamshi yao huwa wanakawa wamepigwa sindano maalum za kulewesha na kuvuruga kabisa ubongo, au!
 
CCM wanatuletea maigizo matupu kwenye hili suala! Rushwa imeshamiri kila kona ya nchi, halafu bado wanathubutu kudai kwamba wanapambana nayo.

Swali la msingi ni: wanapambana kivipi, au wanatuzuga tu?
=============

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi Kimekuwa kikipinga rushwa na kupiga vita Rushwa hivyo anayesema CCM haizungumzi kuhusu Rushwa haijui vizuri CCM na hio imekuwa ni ajenda ya Mgombea Urais wa CCM.

Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha Rushwa inapigwa Vita.

Screenshot_20250927_085707_Instagram.jpg
 
Ukishaona insisting namna hii tambua kua hili suala ni gumu kwao!!
 
Majina yanasadiki, ni kweli profesa sasa hivi ni mfata mkumbo tu
 
CCM wanatuletea maigizo matupu kwenye hili suala! Rushwa imeshamiri kila kona ya nchi, halafu bado wanathubutu kudai kwamba wanapambana nayo.

Swali la msingi ni: wanapambana kivipi, au wanatuzuga tu?
=============

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi Kimekuwa kikipinga rushwa na kupiga vita Rushwa hivyo anayesema CCM haizungumzi kuhusu Rushwa haijui vizuri CCM na hio imekuwa ni ajenda ya Mgombea Urais wa CCM.

Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha Rushwa inapigwa Vita.

Yenyewe na rushwa ni kama uji na mgonjwa vile!
 
Back
Top Bottom