nyamwingi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 933
- 863
Kuna mahala nimesoma wakulima wa miwa wanapata hasara baada ya miwa yao kushindwa kutumiwa na kiwanda kwa kuwa hakina uwezo wa kuchukua miwa yote inayozalishwa na wakulima.Kwa hiyo ni bora kuua viwanda vya ndani ili kuagiza toka nje? Unaua viwanda vyako vya ndani ili uagize toka nje; are you serious? Viwanda vikifa unapoteza ajira, kodi, soko la wakulima wa miwa nk, hivyo vyote utavipata kwa alternative gani?...
Sasa hapa ndio tuendelee kusubiri sukari ya ndani Hali ya kuwa wenye viwanda wanafanya kazi kimazoea Hadi leo?