Prof. Mkenda ni muadilifu anachokosa ni uchapa kazi na ubunifu (flexibility, creativity na exposure)

Sukari imemshinda anaweza umeme na Gesi huyo
Screenshot_20211129-224836.jpg
 
Mkuu Ngungange , kwanza nayaheshimu mawazo yako, kiukweli kabisa, Prof. Adolf Mkenda is one of the best of the best kwenye lineup ya Mama Samia, it's not fair kuambiwa nonsense, but the boss is always right, and it's very dangerous to be right when the boss is wrong!...
Mimi simuoni kama best elite with high IQ sababu zangu ni hizi

Kauli ya kuwa kamwe hatokubali kutoa vibali sio kauli ya level ya wizara ni zaidi ya Mamlaka yake aliongea as if ni Rais au Waziri Mkuu
Ilikua ni sawa kwa Majaliwa kutoa io statement sio Waziri.

Kulinda viwanda vya ndani hakuna mantiki kama viwanda hivyo havifikii malengo ya uzalishaji. Hadi sasa tumeshindwa kwenda na comparative analysis kati ya uzalishaji wa viwanda na importation.

Pia viwanda vya ndani haviwezi kufanya vizuri kama waagizaji wa sukari ndio wamiliki wa viwanda hii inahitaji akili sio kanuni za darasani.

Viwanda vya ndani vitashindana vipi na soko la nje wakati hakuna unafuu kwenye pembejeo, still wakulima wanapractise primitive farming.

Sina shaka nae kwenye utaratibu lakini nina mashaka nae kwenye efficiency.

Bashe he could be better minister coz anajua dhana ya Biashara na Uwekezaji kwa vitendo ilihali Mkenda anajua kwa theory kilimo kinataka skilled practical than theory
 
Mimi simuoni kama best elite with high IQ sababu zangu ni hizi
Kauli ya kuwa kamwe hatokubali kutoa vibali sio kauli ya level ya wizara ni zaidi ya Mamlaka yake...
Mkuu Ngungenge , nimeipenda analysis yako na jinsi unavyo jenga hoja that makes sense.

Na kumhusu Bashe, nakukubalia, hata mimi niliwahi kumpongeza humu.

P
 
Rekebisha title hapo, hakunaga Kiongozi mwanaCCM muadilifu, wote ni wapigaji tu, tofauti ni viwango vya upigaji.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Uadilifu na Uchapa kazi. Hayo ni mambo mawili tofauti. Viongozi wengi wako katika makundi mawili
1. Viongozi waadilifu lakini hawana maarifa ya kuchapa kazi na kuleta matokea chanja....
Bashe vp?
 
Hahahahahhaha eti nipo ubungo kibo hahaahaaha,sasa nije hapo then nisikie unaishi Bunju mkuu hahahahahaha /nimecheka sana
Watu wakusikia Profesa fulani wanaogopa wanadhani pengine ni mtu msomi sana. Profesa ni Mwalimu tu tofauti labda anafundisha Chuo Kikuu.

Kati ya Prof Mkenda na Naibu wake Hussein Bashe, kwangu mimi Hussein Bashe ana UWEZO mkubwa kuliko Bosi wake. Kama unabisha, njoo mniue niko Ubungo Kibo
 
Sheria siyo dogma ndugu yangu, kama kiongozi lazima uwe na uwezo mkubwa wa kusoma viashiria vya kiuchumi na dunia inaelekea wapi hasa kwa kuangalia changamoto la mahitaji ya soko la sukari hapa nchini then unafananisha na sheria unayosimamia
Kwenye suala la sukari waziri Mkenda yuko sahihi kabisa kusimamia sheria na maazimio ya serikali; hiyo ndiyo maana halisi ya uadilifu.
Mama amechemsha kubwatuka hadharani bila kujua kwamba waziri alitoa tamko ili kulinda sheria na maamuzi ya serikali. Rais pia alipaswa kujiridhisha kuwa hakuna sukari inayoagizwa toka Uganda kabla hajatoa kauli yake.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Uadilifu na Uchapa kazi. Hayo ni mambo mawili tofauti. Viongozi wengi wako katika makundi mawili...
Taasisi ya Uraisi i

Nadhani kuna misinterpretation ya TAMKO la waziri wa kilimo kuhusu importtation ya sukari na hili limefanywa makusudi na wafanyabiashra waliokuwa na fursa ya kuonana moja kwa moja na Samia!!
Bias za kishamba hizi! Eti kuwa mjanja! Ujanja unapimwa vipi na OPRAS form?

Halafu fedha zimejaa wapi?

Populism za kishamba!
 
Bias za kishamba hizi! Eti kuwa mjanja! Ujanja unapimwa vipi na OPRAS form?
Halafu fedha zimejaa wapi?
Populism za kishamba

What is the relevance of your response to the previous posting? Nani kazungumzaa juu ya fedha hapo?
 
Mama anapiga mkubwa sana... Issue ya kukua viwanda vyetu imekuwa chanzo cha uhaba wa sukari kila mwaka...Kama hatuwezi feed our market why ban importation?....
Kwa hiyo ni bora kuua viwanda vya ndani ili kuagiza toka nje? Unaua viwanda vyako vya ndani ili uagize toka nje; are you serious?!
Viwanda vikifa unapoteza ajira, kodi, soko la wakulima wa miwa nk, hivyo vyote utavipata kwa alternative gani?

Hao wawekezaji mnaowakaribisha kila leo waje kuwekeza, at the same time mnaharibu mazingira ya uwekezaji wao mtawaambia nini?
Kuna mambo mengine kupanga ni kuchagua tu; kama tunakaribisha uwekezaji lazima tukubari kuwa na mazingira rafiki ya uwekezaji.
 
Nadhani kuna misinterpretation ya TAMKO la waziri wa kilimo kuhusu importtation ya sukari na hili limefanywa makusudi na wafanyabiashra waliokuwa na fursa ya kuonana moja kwa moja na Samia...
Mkuu @ngunenge ninatembea mulemule na wewe. Ni vipi kiwanda kama Kilombero Sugar yenye wafanyakazi zaidi ya 5,000 kiwe competitive kwenye bei kwa kuagiza sukari badala ya kuzalisha.? Kama hawana capacity basi importation ifanywe na traders/ importers ambao wana very low overhead costs.

Prof Mkenda anaweza akawa mwalimu mzuri lakini siyo practicioner mzuri. Kuna mambo mengi anadema tu kama issue ya mbolea, zao la ufuta Shinyanga, tozo za mazao Vijijini nk. It's time for Hussein Bashe now
 
Sheria siyo dogma ndugu yangu,kama kiongozi lazima uwe na uwezo mkubwa wa kusoma viashiria vya kiuchumi na dunia inaelekea wapi hasa kwa kuangalia changamoto la mahitaji ya soko la sukari hapa nchini then unafananisha na sheria unayosimamia
Umemuua huyo aliyekariri sheria. Halafu kama sheria ni kikwazo kuna njia ya kuirekebisha ambayo ni miscellaneous amendment bungeni
 
Kwa hiyo ni bora kuua viwanda vya ndani ili kuagiza toka nje? Unaua viwanda vyako vya ndani ili uagize toka nje; are you serious?!
Viwanda vikifa unapoteza ajira, kodi, soko la wakulima wa miwa nk, hivyo vyote utavipata kwa alternative gani?...
Sasa Amie Mpungwe anatuambia kila kiwanda cha ndani kiliagiza sukari ambapo Kilombero Sugar waliagiza 4,300 tons. Mpaka wana agiza ina maana hawana uwezo wa kuzalisha. Kwa nini uwalinde at the expense of soaring price to consumers? Ni UHAYAWANI
Screenshot_20211130-070815.png
 
Sasa Amie Mpungwe anatuambia kila kiwanda cha ndani kiliagiza sukari ambapo Kilombero Sugar waliagiza 4,500 tons. Mpaka wana agiza ina maana hawana uwezo wa kuzalisha. Kwa nini uwalinde at the expense of soaring price to consumers?View attachment 2027699
Ni kwamba, uzalishaji wa viwanda vyetu hautoshelezi mahitaji ya ndani; kwa hiyo sheria imevipa dhamana ya kuagiza toka nje ili kuziba pengo linalopungua. Ndo maana viwanda vinaagiza toka huko Uganda.

Tatizo lilikuwepo ni kwamba, leseni za uagizaji walikuwa wanapewa wafanyabiashara, badala ya viwanda! Matokeo yake wanaagiza tu watakavyo bila kuzingatia mahitaji, matokeo yake sukari ya viwanda vya ndani inakosa soko!

Angalia hii ili upate picha zaidi:

 
Kwenye suala la sukari waziri Mkenda yuko sahihi kabisa kusimamia sheria na maazimio ya serikali; hiyo ndiyo maana halisi ya uadilifu.
Mama amechemsha kubwatuka hadharani bila kujua kwamba waziri alitoa tamko ili kulinda sheria na maamuzi ya serikali. Rais pia alipaswa kujiridhisha kuwa hakuna sukari inayoagizwa toka Uganda kabla hajatoa kauli yake.
Fact.
 
Ni kwamba, uzalishaji wa viwanda vyetu hautoshelezi mahitaji ya ndani; kwa hiyo sheria imevipa dhamana ya kuagiza toka nje ili kuziba pengo linalopungua. Ndo maana viwanda vinaagiza toka huko Uganda...
This was wrong! Kwa nini uwape Manufacturers role ya trading? Inawezekana vipi ukapata nafuu ya bei kwa kumpa Kilombero Sugar mwenye work force ya wafanyakazi zaidi ya 5,000 na related overheads aagize Sukari? Hiyo ndiyo jukumu la intermediaries ambao wana wafanyakazi wachache na overhead chache.

Magufuli alikuwa MWEHU tu, never subscribe to his hate over rich people. Alikuta bei ya sukari ni Tsh 1,800 October 2015, akaivuruga hadi ikaruka Tsh 3,000-5,000 na hadi anakufa haikuwahi kuteremka.

Akiwachukia matajiri kwa UMASKINI wake lakini akatutengenezea shida hii. Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha mwaka 1995 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu mwendawazimu Magufuli alipoivuruga. Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani agiza popote njoo uuze Tanzania. Kwa nini turudi kule kweusi??

Ukiniambia kuwa eti importers walikuwa wanaagiza hovyo nitakuona wewe UmkhontoweSizwe ni mtoto mdogo chini ya 35 years, au kama ni mtu mzima basi HUJITAMBUI
 
Rasis Samia anatakiwa awe makini zaidi na taarifa anazopewa na wasaidizi wake kwani yeye ndio kioo cha nchi yetu!!! Matamshi yasiyofaa yanaweza kupelekea sisi wote na nchi yetu kudharauliwa .
Kama Rais anataka kuita UJINGA, NONSENSE kwa Mimi ni SAWA TU! My problem is kuna UJINGA mwingi sana uliotokea na ningependa aite UJINGA huu NONSENSE pia. Kwa msioelewa maana ya NONSENSE kwa English ni “It makes NO SENSE”… kwa Kiswahili “HAINA MANTIKI”! Si TUSI!
 
Back
Top Bottom