Prof. Mbele: Slaa alisema CCM ni choo kichafu

Prof. Mbele: Slaa alisema CCM ni choo kichafu

Duh.......hili nalo wazo ni zito,nitampigia kura mtu aliyeopolewa kwenye choo sio kumpigia yule aliyebaki chooni.
Asante professor.

unajua kuna maprof nafikili uprof walipata kwa bahati mbaya kama anajiona anaweza asifanyie uchambuzi wake chooni maana na yeye inwezekana huyo chooni ajitokeze slaa amesema mwenye kutaka ajitokeze ili wafanye uchambuzi wote ,
au ili hakulisikia au ndo walewale wa chooni,

mkuu ndo mabadiriko unayoyataka hayo kweli? inatia shaka sana hivi unaweza mtu akakuuliza unataka mabadiliko gani ukajibu eti ya kuongoza chama kingine? hata kama ni genge lile lile ambalo limebadilisha sula kama kinyonga?

Mkuu hasara za nn sasa kama ni genge lile lile?kama magufuli na Lowasa ni watoto wa baba mmoja Hasira na mine uko yako zinatokana na nn
 
Mkuu kwani ameshatoka?

kwani choo alichokisema slaa alimuongelea nani au kwa kuwa aliongea kwa falsafa adi prof akuelewa nini? au mlitaka aseme kinyesi?
alimanisha kinyesi kilichotolewa ccm na kukipeleka cdm na kukibadilisha kukifanya mkate,
tatizo wengi hawaelewi inabidi slaa asionge kwa mafumbo ya teolojia wengi hawaelewi,

Jibu t Nani bora? Aliyelopolewa chooni ama aliye ngangania kubakia chooni? It is a simple question na ndicho Dr Slaa alichosema, vinginevyo mpuuze Dr Slaa bila hata kujadili kauli zake.
 
Falsafa ni tamu kama unaielewa na una akili iliyo shiba. Asante Prof.
 
kama kweli wewe ni mprof wakakupime akili,slaaaliposema uchafu wa lowasa akiwa ccm mbona haukutoa uchambuzi wako wa ovyo leo eti ameyasema amachafu ya lowasa akiwa cdm ndo unatoa uchambuzi wako wa ovyo,ukiona prof ananunuliwa? huyo ni janga la taifa,

hivi kweli huyu prof anapata waki akili za kumsema amagufuli,je anasafiri kupitia ndenge nini?

hata mimi huyu profeseli nimepata wasiwasi nae mawazo yake hayaswii kabisa hayupo real ni mwanasiasa taaluma yakr nadhan atakua ameihidhi mahali ataifata baada ya uchagiz
 
Mkuu hasara za nn sasa kama ni genge lile lile?kama magufuli na Lowasa ni watoto wa baba mmoja Hasira na mine uko yako zinatokana na nn

mkuu unaweza kuzaa watoto wote tena wa baba mmoja ,mwingie akawa jizi mwingina kahaba,mwingine mchungaji,mwingine anaakili mwingine ziro kabisa ,haimanishi kuwazaa wote watafanana,
na hauwezi kumfananisha magufuli na lowasa hata kidogo,
1,kwa tabia,
2 uwezo wa akili
3 uwezo wa kufanya kazi,
4 uwezo wa kuelewa mambo,
5 uwezo wa kujiamini kwa kile anachokifanya,
ukitaka kujua hili uliza mto yeyote hata wa mtaani tu wakawaidi atakwambia hilo.

hata mimi huyu profeseli nimepata wasiwasi nae mawazo yake hayaswii kabisa hayupo real ni mwanasiasa taaluma yakr nadhan atakua ameihidhi mahali ataifata baada ya uchagiz

taifa kuwa na maprofeseli wa namna hii ni bora tukavunje vyuo vikuu na tuvifanya mabana ya kuku,yatawasaidia masikini kuriko msomi ambaye akili zake hazimtoshi
lkn slaa amesema anayetaka asiongele chooni ajitokeze kama yeye ni mpefeseli ali kuwepo mdahalo na slaa tuone uchambuzi wake,

Yni uyo sio proffesor ni le professeri...hao ni malecture wanaotufundisha chuoni kumbe na wao ni bogus ..
 
Falsafa ni tamu kama unaielewa na una akili iliyo shiba. Asante Prof.

huyo profeseli unampongeza kwa lipi ameshinda kutambua kuwa slaa alichomanisha ni kutoa kinyesi chooni na kukileta sebuleni na kukifanya mkate ,
kama anajiamini slaa ameishafungua mlango ajitokeze tuone,
 
Mkuu umetisha..ni uchambuzi uloenda shule haswaa!
 
haya ndo maprofeselie
ya lissu aliyoyasema ,ni bora majengo ya vyuo vikuu wakafunge kuku kuriko kuweka maprofeselie wasiojitambua kama mbele,
 
Nimemuelewa vizuri Professor, kura yangu sitaipoteza chooni.
 
Mkuu umetisha..ni uchambuzi uloenda shule haswaa!

mkuu ametisha nini hana lolote ni profeselie tu,prof analalamikia chooni au chini ya uvungu,slaa ameweka wazi na mlango uko wazi ajitokeze kwenye mdahalo na slaa ili tuone kama slaa ajamzalilisha
 
Nimemuelewa vizuri Professor, kura yangu sitaipoteza chooni.

oke pigia kura yako kinyesi kilichotolewa chooni na kupelekwa sebuleni na kugeuzwa kuwa mkate na bingwa wa udalali wa siasa mbowe,lkn haitasaidi,take it from me majizi hayaingi ikulu mwaka huu,
 
mkuu ndo mabadiriko unayoyataka hayo kweli? inatia shaka sana hivi unaweza mtu akakuuliza unataka mabadiliko gani ukajibu eti ya kuongoza chama kingine? hata kama ni genge lile lile ambalo limebadilisha sula kama kinyonga?

Genge ambalo limebadilisha "SULA"..sura..kwa kukusahihisha...Kwahiyo na wewe unakubaliana na prof..kuwa kuna mavinyonga kibao huko ccm ambayo yamekataa kubadilisha sura na kuendelea na ufisadi including dr magufuli..ni bora kinyonga aliyebadili sura ili afanane kwa sera na malengo yetu in a long run atatusaidia kuyadhibiti mavinyonga yasiyotaka (mageuzi)kubadili sura!
 
kwani choo alichokisema slaa alimuongelea nani au kwa kuwa aliongea kwa falsafa adi prof akuelewa nini? au mlitaka aseme kinyesi?
alimanisha kinyesi kilichotolewa ccm na kukipeleka cdm na kukibadilisha kukifanya mkate,
tatizo wengi hawaelewi inabidi slaa asionge kwa mafumbo ya teolojia wengi hawaelewi,

Wewe ndo umemwelewa..unachekesha sana..mtu mwenyewe hujui hata 'r' inatumikaje na 'l' inatumikaje kiufupi hujui kiswahili..kweli wewe utabishana na professor? ???
 
Najaribu kuichambua kwa umakini tena na tena hotuba ya aliyekua K/mkuu wa CHADEMA Dr Slaa najikuta napata majibu ya ajabu sana! Hivi ni kwanini Dr Slaa amewatusi CCM kiasi hichi bila wao kujua?Mwenezi wa CCM mkoa wa DSM analielewa hilo mpaka kufikia kumsifia Dr Slaa kwa maneno yake hadharani?
Dr Slaa aliyasema hayo kwenye hotuba yake Serena hoteli kua anamfananisha LOWASSA na Choo kilichotolewa chooni na kukiweka chumba kitatoa harufu mbaya kutokana na kunuka kwake! Yaani ameifananisha CCM na choo! Kwamba bado CCM Ni choo na LOWASSA ametoka ndani ya choo!
Nijuavyo mimi kinyesi ukikitoa chooni huja na harufu yake lakini baada hukauka na harufu kuisha kabisa na chumba kubaki na harufu yake nzuri ya awali!Dr Slaaa amewatusi sana wanaCCM, Naifananisha kauli yake na ya Mzee Mkapa aliyewaambia wapinzani kua ni wapumbavu na malofa! Sasa baadhi ya wanaCCM badala ya kutafakari kwa kina wamejikuta wakisheerekea! "MAAJABU YA MUSSA HAYA"
Ni Swali la kujiuliza je, sisi wapiga kura tumpigie kura aliyeko chooni au aliyetoka chooni?
 
Back
Top Bottom