Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Nimeshangazwa na kauli ya Waziri Prof. Maghembe kuhusu utangazaji wa vivutio vya ndani. Anawambia wasanii waende wenyewe wizarani kuomba kutangaza vivutio vyetu kana kwamba wao ndio wenye shida.
Nchi nyingine zinahangaika kutafuta watu wa kutangaza vivutio vyao hapa bongo mnasema wasanii waende wenyewe.
Nchi nyingine zinahangaika kutafuta watu wa kutangaza vivutio vyao hapa bongo mnasema wasanii waende wenyewe.