Prof. Maghembe amekalia kuti kavu

Alikwisha ongoza wizara hii na kuboronga saaana na kusababisha matatizo mengi,bahati mbaya Rais Magufuli hakuwa na kumbukumbu kumhusu Maghembe ,sasa amemjua !!!
 
Hana muda mrefu naye anaweza kuwekwa benchi kusubiri kupangiwa kazi nyingine
 
Kwanini wamkuze kazi huyo mhifadhi huko kagera.? Rais tumbuwa limeiva hilo haiwezekani waziri anashindwa kutetea maslahi ya umma .
 
HATA MIMI NAUNGA MKONO MAGHEMBE HAENDANI NA KASI YA MAGUFULI, NI MZITO HAPA MHE. RAIS ALICHEMKA KWA HUYU BWANA, NINGESHAURI RAIS AMPUMZISHE
 
Kwa vile mnaanza kufundisha kazi mh rais mitandaoni hivo bas sina shaka mh rais atakuprove wrong kwa kumpa suport kubwa sana wazir na maneno ya kumpamba na mifano kedekede tunayo.....

Mh RC mmoja wa hapa nchini naye kapanda cheo hivi hiv sasa sijui maghembe atakuwa WM??
 
Labda........sisi wengine mpaka tuone.
 
Akitumbuliwa Sumaye kwenye issue za ardhi Magufuli anaonekana anaukandamiza upinzani!!

Sumaye anaingiaje hapa futeni hizo hati zake kwani mimi zinanihusu nini? Magufuri anaogelea kwenye tope kama anataka kuishinda hii vita aruhusu maoni ya katiba ya mzee Warioba ipitishwe bila hivyo kila siku atakuwa mtumbua majipu mwishowe aambukizwe hayo majipu
 
Huyo mtu kafukuzwa lini? Unaonekana mbulumundu kukimbilia kuandika usichokijua.... huyo amesimamishwa kazi.....
Naona safari hii ampe Leonidas Gama au siyo?
 
Sijuwi mnatumwa nyie . mko kama wachawi.
 
With the President we have, ile katiba ya Warioba ni muhimu sana....
 
Huyu Magembe anatetea wavamizi wa mapori atumbuliwe tu hamna namna
 
Huyu Mh. Wampumzishe tu! Mh. Rais tunakuomba uteue waziri atakayeitendea haki hii wizara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…