Prof lipumba?

Prof lipumba?

Status
Not open for further replies.

Baba mamu

Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
11
Reaction score
2
Baada ya kukaa kwa muda na kufanya tafakuri makini nimeona sasa nichukue nafasi hii kuwauliza wadau wa siasa, kwani inawezekana kuna ambaye anaweza kunipa jibu juu ya mkanganyiko huu unaosumbua akili yangu.
Prof Lipumba ni miongoni mwa tunu ndani ya taifa hili. Bila ya kupoteza muda naomba kuuliza hivi Prof Lipumba ameoa lini na kamuoa nani? Naomba majibu yenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom