GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,904
- 4,667
TBL juzi tarehe 20 wametangaza faida imepungua kwa 29%, how about that! Au nao walikuwa wapiga dili!Hizi ndio points zinazoelezea uchumi kushuka?
Kwa hiyo serikali ikilipa wakandarasi uchumi utapanda?
Baadhi ya viwanda vimefungwa je kuna viwanda vipya vingapi vimeanzishwa?