Prof. Lipumba: Uchumi umeshuka kulinganisha na mwaka 2015

Prof. Lipumba: Uchumi umeshuka kulinganisha na mwaka 2015

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,546
Reaction score
21,094
Amesema:
1. Mzunguko wa fedha umeshuka kwa sababu serikali imeshindwa kuwalipa wakandarasi wa ndani waliotoa huduma kwa taasisi za serikali.
2. Mikopo benki imepungua kwa 3%.
3. Baadhi ya viwanda vimefungwa.
nk
 
Hizi ndio points zinazoelezea uchumi kushuka?
Kwa hiyo serikali ikilipa wakandarasi uchumi utapanda?
Baadhi ya viwanda vimefungwa je kuna viwanda vipya vingapi vimeanzishwa?
 
Hataki kuunga mkono juhudi eeh?
 
Amesema:
1. Mzunguko wa fedha umeshuka kwa sababu serikali imeshindwa kuwalipa wakandarasi wa ndani waliotoa huduma kwa taasisi za serikali.
2. Mikopo benki imepungua kwa 3%.
3. Baadhi ya viwanda vimefungwa.
nk
Huyu Lipumba hana lolote anatafuta cheo ndani ya serikali yawanyang'anyi hii
 
Anatafuta kiki mwambieni tuko spidi ya hypersonic kuelekea uchumi wa kati hawa maprofesa uchwara walikuwepo huko nyuma na hakuna msaada walio utoa zaidi ya majungu na fitina.
Acha tupige kazi yeye tutamsimulia baadae
 
Hizi ndio points zinazoelezea uchumi kushuka?
Kwa hiyo serikali ikilipa wakandarasi uchumi utapanda?
Baadhi ya viwanda vimefungwa je kuna viwanda vipya vingapi vimeanzishwa?
Sijakuelewa vizuri; hizo karakana zilizofunguliwa ndiyo unaita viwanda au?
 
Hizi ndio points zinazoelezea uchumi kushuka?
Kwa hiyo serikali ikilipa wakandarasi uchumi utapanda?
Baadhi ya viwanda vimefungwa je kuna viwanda vipya vingapi vimeanzishwa?
Unaonaje basi ukitoa points zako ukielezea jinsi gani uchumi umekuwa kulinganisha na 2015?!
 
Kipaumbele ni kuua upinzani ambao hata hivyo hauwezi kufa bali ndio unazidi kujengeka na kuimarika kwenye mioyo ya watanzania wengi.
 
Ana Takwimu au anajisemea tu, Maana serikali inasema Uchumi unakua na kila siku tunaambiwa hivyo.
 
Ana Takwimu au anajisemea tu, Maana serikali inasema Uchumi unakua na kila siku tunaambiwa hivyo.
Tatizo ni wakala wa takwimu! Wamejiwekea wigo hawataki kutoa takwimu kwa wakati hivyo watu wanajitafutia takwimu zao!
 
Huyu mzee ana sijida lakini mnafki balaa
 
Amesema:
1. Mzunguko wa fedha umeshuka kwa sababu serikali imeshindwa kuwalipa wakandarasi wa ndani waliotoa huduma kwa taasisi za serikali.
2. Mikopo benki imepungua kwa 3%.
3. Baadhi ya viwanda vimefungwa.
nk
Le porofesa hana jeuri hiyo atakufa njaa
 
...ukiona zee kama lipumba linalalamikia uchumi....basi ujue nalo limeathirika kwa namna moja ama nyingine personally.... Ni mpaka haya manafiki yaathirike ndipo uone yanaongea.....sasa linaongelea uchumi..lakini issue ni kuwa linapigika personally....na zile kesi zake za kimizengwe kusababishia shida wabunge wa kweli wa cuf zinashindwa....Wanatoka sasa kila mmoja kwa nafasi yake....maana wanaathirika na status quo....kwa kutopata walichotegemea kwa matendo yao kharam....
 
Mh Ukitoka hapo unaenda kukanao vikao vyo kusaliti ukweli wa mambo Lipumba tuache tu fanya yako na ccm
 
Back
Top Bottom