Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,223
- 7,417
Hili zee haliwezi kufanya kazi nyingine?Hongera sana Full Professor Ibrahim Lipumba (PhD) kwa kuongoza chama kwa Miaka 23. Hili ni la kupigiwa mfano duniani kote. Hakika tuna mengi ya kujifunza kwako.
Usimsahau na John Cheyo wa udpHongera sana Full Professor Ibrahim Lipumba (PhD) kwa kuongoza chama kwa Miaka 23. Hili ni la kupigiwa mfano duniani kote. Hakika tuna mengi ya kujifunza kwako.
Halafu utasikia Wapumbavu wanasema Mbowe kakaa sana madarakani.Hongera sana Full Professor Ibrahim Lipumba (PhD) kwa kuongoza chama kwa Miaka 23. Hili ni la kupigiwa mfano duniani kote. Hakika tuna mengi ya kujifunza kwako.
Mbowe,Lipumba,Cheyo,Rungwe,Dovutwa nk wote ni walewale kasoro yao majina tuHalafu utasikia Wapumbavu wanasema Mbowe kakaa sana madarakani.
Ni Watanzania kwani hujui hilo(Soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Ibara 12 na 13)Mbowe,Lipumba,Cheyo,Rungwe,Dovutwa nk wote ni walewale kasoro yao majina tu
Hakika Profesa makini, Sera makini.Safi sana Profesa
Mwanasiasa malaya malaya hatufai.Tangu 1995 hapajawahi tokea mwanasiasa/mgombea mwenye sera za kiume na konki Kama lipumba,ndiyo maana kwenye kampeni huwa hawaweki midahalo wanajua watampa mileage,tangu awaburuze 1995 kwenye mdahalo wa DW,hawataki tena
Wanasiasa malaya ni wale walonadi lowasa fisadi 2008 Kisha kumsafisha 2015 na kumpa kiti agombeeMwanasiasa malaya malaya hatufai.
Akiwemo na Lipumba.Wanasiasa malaya ni wale walonadi lowasa fisadi 2008 Kisha kumsafisha 2015 na kumpa kiti agombee
Lipumba na dokta walikataa huo umalaya,mbowe na seif walishindwa kujizuwia mbele ya 12b za fisadiAkiwemo na Lipumba.
Lipumba kibaraka wa mwendazake na mkabila mkabila pia ni mdini mdini.Lipumba na dokta walikataa huo umalaya,mbowe na seif walishindwa kujizuwia mbele ya 12b za fisadi
Akiwa muislam kwako atakua mdini tu,kwa kuwa uoni wako umevikwa udini,lipumba kaanza siasa 1995,magu akiwa hata kuota uwaziri haoti,huo ukabila lipumba umeuona wapi!?..vipi kuhusu hicho chama unachopigia chapuo huo ukabila na udini,si upo wazi kama mapaja ya changudoa!?Lipumba kibaraka wa mwendazake na mkabila mkabila pia ni mdini mdini.