Prof Lipumba: Nimestaajabishwa na uteuzi wa Profesa Luoga

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Akizungumza katika mahojiano na TBC1 mchumi mbobezi Profesa Ibrahimu Lipumba amesema hakutegemea kama Rais angemteua Gavana Mwanasheria kwani kwa kawaida Gavana huwa mtu aliyesomea maswala ya uchumi.

Profesa Lipumba amesema Profesa Luoga ni mbobezi wa sheria za kodi na maswala ya kodi yapo chini ya wizara ya fedha hayapo BOT.

Source: TBC1
 
RAISI ALILIONA HILI MAPEMA NDIO MAANA AKASEMA PALEPALE KUWA NAIBU WAKE NI MTAALAMU. hivyo tegemea gavana kuwepo pale kama cheo na kutia sahihi na ku authorize maswala ya kiofisi na kutoa clearance/go ahead kwenye ishu flani flani..

huku kazi kubwa zikimwangukia naibu.
 
RAISI ALILIONA HILI MAPEMA NDIO MAANA AKASEMA PALEOALE KIWA NAIBU WAKE NI MTAALAMU. hivyo tegemea gavana kuwepo pale kama cheo na kutia sahihi na ku authorize maswala ya kiofisi na kutoa clearance/go ahead kwenye ishu flani flani..

huku kazi kubwa zikimwangukia naibu.
Kwa hiyo yeye kazi yake itakuwa nini kama Gavana kama mambo yote atafanya naibu?
 
Akizungumza katika mahojiano na TBC1 mchumi mbobezi Profesa Ibrahimu Lipumba amesema hakutegemea kama Rais angemteua Gavana Mwanasheria kwani kwa kawaida Gavana huwa mtu aliyesomea maswala ya uchumi.

Profesa Lipumba amesema Profesa Luoga ni mbobezi wa sheria za kodi na maswala ya kodi yapo chini ya wizara ya fedha hayapo BOT.

Source: TBC1
Alitegemea apewe yeye kwa kazi nzuri aliyo fanya ya kuubomoa upinzani???
 
RAISI ALILIONA HILI MAPEMA NDIO MAANA AKASEMA PALEPALE KUWA NAIBU WAKE NI MTAALAMU. hivyo tegemea gavana kuwepo pale kama cheo na kutia sahihi na ku authorize maswala ya kiofisi na kutoa clearance/go ahead kwenye ishu flani flani..

huku kazi kubwa zikimwangukia naibu.

Nenda kamuulize yeye anamsikiliza Samia, Majaliwa, Supika au Judge Mkuu akikujibu uje tena tukupe nondo!
 
RAISI ALILIONA HILI MAPEMA NDIO MAANA AKASEMA PALEPALE KUWA NAIBU WAKE NI MTAALAMU. hivyo tegemea gavana kuwepo pale kama cheo na kutia sahihi na ku authorize maswala ya kiofisi na kutoa clearance/go ahead kwenye ishu flani flani..

huku kazi kubwa zikimwangukia naibu.

Nenda kamuulize yeye anamsikiliza Samia, Majaliwa, Supika au Judge Mkuu akikujibu uje tena tukupe nondo!
 
Akizungumza katika mahojiano na TBC1 mchumi mbobezi Profesa Ibrahimu Lipumba amesema hakutegemea kama Rais angemteua Gavana Mwanasheria kwani kwa kawaida Gavana huwa mtu aliyesomea maswala ya uchumi.

Profesa Lipumba amesema Profesa Luoga ni mbobezi wa sheria za kodi na maswala ya kodi yapo chini ya wizara ya fedha hayapo BOT.

Source: TBC1
Maneno ya Mkosaji hayo,
ye alidhani kwa alivyofanya kazi yake vyema ya kuvuruga upinzani basi reward yake ingekua ni hiyo post
 
Back
Top Bottom