Mkuu DCONSCIOUS, kwanza nakupa pole kwa ujinga wako, wewe ni mjinga, na nakuomba usichukulie kuwa nimekutukana bali mjinga ni mtu asiyejua, akiisha julishwa ujinga ukimtoka, anakuwa sio mjinga tena kwa sababu ameufuta huo ujinga wake!.
Mtu kuwa mjinga kwa kutokujua sio kosa, bali kosa ni kama mjinga huyo ataelimishwa na kuendelea kuumbatia ujinga huo!.
Ujinga hapa ni kwa wana UKAWA, kutoelimishwa kuhusu upatikanaji wa mgombea wa pamoja wa urais kwa tiketi ya UKAWA.
Vyama vyote vinne vinavyounda UKAWA viko huru kuendesha mchakato wake wa ndani kumpata mgombea wake wa urais wa Zanzibar na Muungano. Chama cha CUF kimeishauzindua mchakato wake wa ndani na tayari kimeisha mtangaza Maalim Seif ndio mgombea wake urais wa Zanzibar na soon kitazindua huku bara kwa kumtangaza Prof. Lipumba kuwa mgombea wake wa urais bara.
Chadema nacho kiko huru kutangaza mgombea wake wa urais Zanzibar na Bara. NCCR nageuzi nao pia wako huru kutangaza wagombea wao vivyo hivyo kwa NLD.
Kisha UKAWA sasa itakutana na kuwachuja hao wagombea wote kutoka vyama vyote vinavyounda UKAWA na kuibuka na mgombea mmoja mmoja kwa urais wa Zanzibar na wa Muungano kwa tiketi ya UKAWA. Mgombea huyo sasa ndio atakuwa mgombea wa UKAWA na sio lazima ndio lazima awe Prof. Lipumba, anaweza hata kuwa ni James Mbatia au hata Emanuel Makaidi!.
Kwangu tatizo sio CUF kumtangaza Prof. Lipumba kuwa mgombea wake, bali ni watu ambao hawana shughuli nyingine yoyote ambapo siasa wao wameifanya ndio ajira yao ya kudumu, hivyo hata kugombea urais, mtu anakuwa ni mgombea wa kudumu, amaishakataliwa mara 4, na bado anataka tena mara ya 5!, mtu kama huyo asipopitishwa yeye na haku hajawahi kujaribu hata jimbo lolote, atafanya nini?!.
Kwa siasa za Bongo, Prof. Lipumba hana uwezo wa kuchagulika kuiingiza UKAWA Ikulu, ila ni haki yake kuchaguliwa kuwa mgombea wa CUF ila safari yake itaishia kwenye kumpata mgombea wa pamoja mwenye uwezo wa kuchagulika kuiingiza UKAWA Ikulu!.
Naamini kwa hili, utakuwa umeelimika na kuacha ujinga!.
Wito kwa viongozi wa UKAWA, elimisheni watu wenu kuwatoa ujinga ili waijue process ya kuelekea kumpata mgombea wa pamoja!.
Pasco
Shiva, hata KANU ya jirani zetu Kenya, nao waliaamini hivi hivi!, wakafuatia na UNIP ya jirani zetu wa Zambia, wakaja MBC wa jirani zetu Malawi!.Hizo ndo taratibu walizo jipangia UKAWA au Hivyo ndio Hisia zako zinavyokutuma....? UKAWA nguvu ya Soda wakiachwa wazii dk 2 chaliiii!
mkuu Pasco wewe ni mjinga,nafikiri maana ya ujinga ushaifafanua vyema!,hujui na unajifanya kumfundisha mtu ambaye hujui kuwa anajua au hajui labda kaandika kwa mawazo na mapendekezo yake!,mwana ukawa anaefatilia ukawa ndiye anaejua ni nini kinacho endelea na sio suala la kupewa elimu,maana ratiba ya mchakato ya ukawa ya mwezi august ilitoka pamoja na maelekezo mazuri ya namna ya kumpata mgombea mmoja sasa wewe unataka elimu ipi?,hakika wewe ni mjinga na usijifanye unajua kila kitu kwa kuwaita wengine wajinga LogicMkuu DCONSCIOUS, kwanza nakupa pole kwa ujinga wako, wewe ni mjinga, na nakuomba usichukulie kuwa nimekutukana bali mjinga ni mtu asiyejua, akiisha julishwa ujinga ukimtoka, anakuwa sio mjinga tena kwa sababu ameufuta huo ujinga wake!.
Mtu kuwa mjinga kwa kutokujua sio kosa, bali kosa ni kama mjinga huyo ataelimishwa na kuendelea kuumbatia ujinga huo!.
Ujinga hapa ni kwa wana UKAWA, kutoelimishwa kuhusu upatikanaji wa mgombea wa pamoja wa urais kwa tiketi ya UKAWA.
Vyama vyote vinne vinavyounda UKAWA viko huru kuendesha mchakato wake wa ndani kumpata mgombea wake wa urais wa Zanzibar na Muungano. Chama cha CUF kimeishauzindua mchakato wake wa ndani na tayari kimeisha mtangaza Maalim Seif ndio mgombea wake urais wa Zanzibar na soon kitazindua huku bara kwa kumtangaza Prof. Lipumba kuwa mgombea wake wa urais bara.
Chadema nacho kiko huru kutangaza mgombea wake wa urais Zanzibar na Bara. NCCR nageuzi nao pia wako huru kutangaza wagombea wao vivyo hivyo kwa NLD.
Kisha UKAWA sasa itakutana na kuwachuja hao wagombea wote kutoka vyama vyote vinavyounda UKAWA na kuibuka na mgombea mmoja mmoja kwa urais wa Zanzibar na wa Muungano kwa tiketi ya UKAWA. Mgombea huyo sasa ndio atakuwa mgombea wa UKAWA na sio lazima ndio lazima awe Prof. Lipumba, anaweza hata kuwa ni James Mbatia au hata Emanuel Makaidi!.
Kwangu tatizo sio CUF kumtangaza Prof. Lipumba kuwa mgombea wake, bali ni watu ambao hawana shughuli nyingine yoyote ambapo siasa wao wameifanya ndio ajira yao ya kudumu, hivyo hata kugombea urais, mtu anakuwa ni mgombea wa kudumu, amaishakataliwa mara 4, na bado anataka tena mara ya 5!, mtu kama huyo asipopitishwa yeye na haku hajawahi kujaribu hata jimbo lolote, atafanya nini?!.
Kwa siasa za Bongo, Prof. Lipumba hana uwezo wa kuchagulika kuiingiza UKAWA Ikulu, ila ni haki yake kuchaguliwa kuwa mgombea wa CUF ila safari yake itaishia kwenye kumpata mgombea wa pamoja mwenye uwezo wa kuchagulika kuiingiza UKAWA Ikulu!.
Naamini kwa hili, utakuwa umeelimika na kuacha ujinga!.
Wito kwa viongozi wa UKAWA, elimisheni watu wenu kuwatoa ujinga ili waijue process ya kuelekea kumpata mgombea wa pamoja!.
Pasco
ACT - Wazalendo