Prof Lipumba , Maalim Seif waiteka Tunduru

Prof Lipumba , Maalim Seif waiteka Tunduru

kigu

Senior Member
Joined
May 27, 2012
Posts
183
Reaction score
74
MTATIRO yupo mkoani RUVUMA saiv katika wilaya ya TUNDURU, na mpaka saiv viwanja vya Baraza la idd vilivyopo Tunduru mjini wamefurika maelfu ya watu, wakimsikiliza mtatiro!!
 
Sio viwanja vya baraza la Idd, ni kakiwanja kadogo sana ambapo hata Mchungaji Mtikila huwa anakajaza!!
 
Nakijua hicho kiwanja ni kidogo kuliko pale Buguruni Mnyamani
 
opportunists au wamepata maelekezo ya washirika wao washambulie sasa hivi wakati cdm wakiendelea kupambana na video ya kuchonga i.ku.lu
 
Akiwepo ndio nini??
Tupe content ya anayoelezea na picha kwa ajili ya macho.
 
Tumewazoea kuwasikia tunduru ,lindi,mtwara na Tanga vp mtatiro kanda ya ziwa huendi?
 
MTATIRO yupo mkoani RUVUMA saiv katika wilaya ya TUNDURU, na mpaka saiv viwanja vya Baraza la idd vilivyopo Tunduru mjini wamefurika maelfu ya watu, wakimsikiliza mtatiro!!

unaonaje uki-edit title thread yako iwe "Mtatiro aiteka Tunduru"
 
Pigeni mzigo CUF, waacheni CHADEMA wapambane mahakamani.
 
Tupe picha na wanayo yaongea jukwaani!
 
Kwanza Heading haifanani na ulichoandika!
Huyo maalim seif na Lipumba walikuwepo Hapo Tunduru?
 
Cuf ilikuwa na nguvu zamani Tunduru lakini sasa mambo yameanza kubadilika chadema inashika kasi sana hasa vijijini na jinsi mambo yanavyoenda jimbo lile litakwenda chadema kinachotakiwa makamanda tuongeze nguvu kule na huenda nikaamua kugombea mwaka 2015.
 
Du mkuu unajipigia debe, kila lakheri katika kutangaza nia!
 
nawashangaa ma pro chadema. kwa nini mnakimbilia uwanja mdogo, mbona hamsemi tuwee picha kama tulivyowazoea? aibu yenu.
 
Back
Top Bottom