Prof Lipumba, Maalim seif kuiteka Bukoba j/nne na MCHAKAMCHAKA hadi 2015.

propagandist

Member
Aug 12, 2011
93
9
huku askari wa miguu wamekwisha ivamia kagera toka walipomaliza kuiteka Arusha, kazi imebakia kwa majemedari prof lipumba na maalim seif kusimika bendera ya ukombozi kwa mkoa wa kagera na kuchukua mateka na kuwarudisha kundini kabla ya kuelekea mkoa wa mwanza, kigoma, tabora, singida, dodoma na morogoro.
 
huku askari wa miguu wamekwisha ivamia kagera toka walipomaliza kuiteka arusha, kazi imebakia kwa majemedari prof lipumba na maalim seif kusimika bendera ya ukombozi kwa mkoa wa kagera na kuchukua mateka na kuwarudisha kundini kabla ya kuelekea mkoa wa mwanza, kigoma, tabora, singida, dodoma na morogoro.

rip cuf
 
Wana Uamsho ndani ya kagera! Angalieni anakuja na sultan wao, ambaye anasema hawataki nyie wabara maana mnamnyima nafasi ya kutawala koloni lake jipya la zanzibar pamoja na waarabu wenzake!
 
Akitua2 Bukoba itabidi akagonge muhuri passprt yke as 2day katanabahisha kuwa anataka nchi yake yenye mamlaka kamili. Kutoka ROHONI mwangu naichukia xna mizanzbar. Let em GO
 
Eee wanafanya kwel nilimjua mnabeep tu hlf CHADEMA wanaogopa kushinda ht Magamba.
 
Hawa wazushi wameshindwa kuiteka Znz wataiweza bara ambako hata hivyo hawajawahi kuwa na nia nako zaidi ya kulazimsihwa na kanuni za usajili wa vyama? Wao wametekwa na CCM hawawezi kuteka sehemu yoyote.
 
Hawana kazi hao. Kweli mchaka mchaka Yaani Arusha wamesha maliza? Heeh watafanikiwa!
 
ndo maana jana niliwaona jamaa wa cuf hapa ubungo bus terminal kuja kufanya mipango ya kukodi yutong kadhaa kwa safari ya bk!
 
Muflis... Kwani Nyerere na yeye alipokuwa akienda kule England kudai uhuru wake akienda tu, si akipita kwenye desk la immigration kufuata taratibu. Siiku mutakayo sema kuna serikali ya Tanganyika basi tutakuja kwa passport zetu za Zenj Empire na visa tutaomba, lakini kwa sasa atakuja bila passport na ulinzi mutamuwekea tena musije kujaribu kumrushia jiwe popote pale Tanzania, mutatumbua tena mutatutambua, kwa hili hatuna masihara.
 
huku askari wa miguu wamekwisha ivamia kagera toka walipomaliza kuiteka Arusha, kazi imebakia kwa majemedari prof lipumba na maalim seif kusimika bendera ya ukombozi kwa mkoa wa kagera na kuchukua mateka na kuwarudisha kundini kabla ya kuelekea mkoa wa mwanza, kigoma, tabora, singida, dodoma na morogoro.

Propaganda haiendi hivyo mkuu. CUF Arusha sio waliiteka bali walitekwa na huko Bukoba wanaenda kubakwa. MAALIM SEIF arudi zenji kudai uhuru akiwa na Jusa na Himid.
 
Back
Top Bottom