wakazi wa mji wa Arusha wanatarajia kujitokeza kwa wingi kumpokea Prof Lipumba tarehe 30/09/2012 akitokea brussels- ubelgiji. ambako anatarajiwa kuondoka tarehe 22/09/2012, ambako anakwenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya EURO barani ulaya. Chanzo. Prof lipumba jangwani.
acha ujinga wewe, anaenda kushughulikia kuanguka kwa sarafu ya euro!!!!!
LMAO!
Kuanguka kwa Sarafu ya Euro kunashughulikiwa na Lipumba?.. U are not serious Guy!.. Duuuh!..
Prof Nguli wa uchumi Duniani kwa nini ashiriki siasa, anataka kupata nini kwenye siasa? hapo ndo anapotia aibu huyo prof. wako. Mchumi wa dunia unazomewa na watoto kwenye kampeni, unapanda mkokoteni wa punda(Igunga)tatizo unamlinganisha Dr slaa mtaalamu wa biblia na Prof nguli wa uchumi Duniani hilo ni kosa la jinai mkuu.
Anaongoza chama kiuchumi ebu ona hapa (Igunga Tshs Mil 150 = Kura 2000) @ Kura Tshs 75,000/=Naomba sana asaidie kwanza shilingi isianguke . Alisaidia sana kipindi cha mwinyi ndio maana shilingi kipindi cha mwinyi ilikuwa strong sana!! ?? kama sikosei ndio alimshauri mwinyi sera ya Ruksa!!! profesa wa uchumi anaengoza chama kichumi!!
mjinga mimi au wewe mkuu unayekuwa na wivu wa kike, lipumba mungu ndiye aliyembariki kumpa akili nyingi, kwanza utambue ni mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani, usimlinganishe Dr wa biblia unafanyd kosa mkuu.
mjinga mimi au wewe mkuu unayekuwa na wivu wa kike, lipumba mungu ndiye aliyembariki kumpa akili nyingi, kwanza utambue ni mwenyekiti wa jopo la uchumi Duniani, usimlinganishe Dr wa biblia unafanyd kosa mkuu.