Lipumba na Maalim wote wasanii... wanachezesha wananchi kibisa....wote vote 20Profesa Lipumba: Hali ya uchumi Tanzania hairidhishi
By Muhammed Khamis, mwananchi mkhamis@mwananchi.co.tz
Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba amesema hali ya uchumi Tanzania hairidhishi na kwamba wananchi wanaishi kwenye maisha yasiyokua bora kinyume na matarajio.
Profesa Lipumba ambaye pia ni mbobezi wa uchumi ameyasema hayo leo Jumamosi Aprili 13, 2019 Unguja visiwani Zanzibar wakati akizungumza na viongozi pamoja na wanachama wa chama hicho katika mkutano maalumu uliofanyika Amani mjini hapa.
Amesemea hivi sasa maeneo mengi ya Tanzania hakuna mzunguko mzuri wa fedha hali ambayo imesababisha Watanzania walio wengi mijini na vijijini kuishi kwenye mazingira ya umaskini.
Hata hivyo, Profesa Lipumba amesema uwepo wa hali hiyo haukuwagusa wananchi wa kawaida pekee bali hata wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo na ndio maana biashara nyingi hivi sasa hazifanyi vizuri.
“Wafanyabiashara wadogo wakubwa wote wako hoi taabani hivi sasa jambo ambalo linasikitisha kwa nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania,” amesema Lipumba.
Kutokana na mazingira hayo ameleza dhamira ya chama chao ikiwa ni kuitumia fursa hiyo na kuwaeleza wananchi sababu ya wao kuchaguliwa na kushika madaraka hatimaye waweze kuondoa changamoto hiyo.
Profesa Lipumba amesema kwa changamoto hiyo ambayo imeikabili Tanzania chama chao kitahitaji kuweka wagombea bora na wenye uwezo watakaoweza kunadi sera zenye kuleta tija kwa wananchi wote.
Wataanza kumnyima ruzuku ya chama chake cha CUF
Hivi huyo Mwenyekiti Lipumba hajui kuwa ndani ya utawala wa awamu ya 5 kuusema ukweli kuhusu hali ngumu ya kiuchumi inayolikabili Taifa letu ni kosa la jinai, ambalo unastahili kuitwa mchochezi??
Jinga sana hili zeeAnapima upepo tu huyo jamaa ili aonekane ni upinzani baadae aendeleze Umamluki!
Professor wa uchumi anaonhea bila hata references hata kama kaongea ukweli tofauti yake na wasioenda shule iko wapi alitakiwa kuja na references za kutosha kama alivyokuwa zamani zaidi ya apo ni siasa tu hana lolote mchumia Tumbo.Profesa Lipumba: Hali ya uchumi Tanzania hairidhishi
By Muhammed Khamis, mwananchi mkhamis@mwananchi.co.tz
Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba amesema hali ya uchumi Tanzania hairidhishi na kwamba wananchi wanaishi kwenye maisha yasiyokua bora kinyume na matarajio.
Profesa Lipumba ambaye pia ni mbobezi wa uchumi ameyasema hayo leo Jumamosi Aprili 13, 2019 Unguja visiwani Zanzibar wakati akizungumza na viongozi pamoja na wanachama wa chama hicho katika mkutano maalumu uliofanyika Amani mjini hapa.
Amesemea hivi sasa maeneo mengi ya Tanzania hakuna mzunguko mzuri wa fedha hali ambayo imesababisha Watanzania walio wengi mijini na vijijini kuishi kwenye mazingira ya umaskini.
Hata hivyo, Profesa Lipumba amesema uwepo wa hali hiyo haukuwagusa wananchi wa kawaida pekee bali hata wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo na ndio maana biashara nyingi hivi sasa hazifanyi vizuri.
“Wafanyabiashara wadogo wakubwa wote wako hoi taabani hivi sasa jambo ambalo linasikitisha kwa nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania,” amesema Lipumba.
Kutokana na mazingira hayo ameleza dhamira ya chama chao ikiwa ni kuitumia fursa hiyo na kuwaeleza wananchi sababu ya wao kuchaguliwa na kushika madaraka hatimaye waweze kuondoa changamoto hiyo.
Profesa Lipumba amesema kwa changamoto hiyo ambayo imeikabili Tanzania chama chao kitahitaji kuweka wagombea bora na wenye uwezo watakaoweza kunadi sera zenye kuleta tija kwa wananchi wote.
Amesharuka masharti huyuProfesa Lipumba: Hali ya uchumi Tanzania hairidhishi

Halafu wakayarudisha kwenu.Kuzungumza tu bila kushauri nini kifanyike ni sawa na chadema wanapopiga kelele kuhusu ufisadi halafu mafisadi wanayapokea na kuyakumbatia!