Prof. Lipumba: Hali ya uchumi Tanzania hairidhishi

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba amesema hali ya uchumi Tanzania hairidhishi na kwamba wananchi wanaishi kwenye maisha yasiyokua bora kinyume na matarajio.

Profesa Lipumba ambaye pia ni mbobezi wa uchumi ameyasema hayo leo Jumamosi Aprili 13, 2019 Unguja visiwani Zanzibar wakati akizungumza na viongozi pamoja na wanachama wa chama hicho katika mkutano maalumu uliofanyika Amani mjini hapa.

Amesemea hivi sasa maeneo mengi ya Tanzania hakuna mzunguko mzuri wa fedha hali ambayo imesababisha Watanzania walio wengi mijini na vijijini kuishi kwenye mazingira ya umaskini.
Hata hivyo, Profesa Lipumba amesema uwepo wa hali hiyo haukuwagusa wananchi wa kawaida pekee bali hata wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo na ndio maana biashara nyingi hivi sasa hazifanyi vizuri.

“Wafanyabiashara wadogo wakubwa wote wako hoi taabani hivi sasa jambo ambalo linasikitisha kwa nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania,” amesema Lipumba.

Kutokana na mazingira hayo ameleza dhamira ya chama chao ikiwa ni kuitumia fursa hiyo na kuwaeleza wananchi sababu ya wao kuchaguliwa na kushika madaraka hatimaye waweze kuondoa changamoto hiyo.

Profesa Lipumba amesema kwa changamoto hiyo ambayo imeikabili Tanzania chama chao kitahitaji kuweka wagombea bora na wenye uwezo watakaoweza kunadi sera zenye kuleta tija kwa wananchi wote.

Mwananchi
 
Profesa Lipumba: Hali ya uchumi Tanzania hairidhishi
By Muhammed Khamis, mwananchi mkhamis@mwananchi.co.tz
pic+lipumba.jpg

Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba amesema hali ya uchumi Tanzania hairidhishi na kwamba wananchi wanaishi kwenye maisha yasiyokua bora kinyume na matarajio.

Lipumba na Maalim wote wasanii... wanachezesha wananchi kibisa....wote vote 20
 
Wataanza kumnyima ruzuku ya chama chake cha CUF

Hivi huyo Mwenyekiti Lipumba hajui kuwa ndani ya utawala wa awamu ya 5 kuusema ukweli kuhusu hali ngumu ya kiuchumi inayolikabili Taifa letu ni kosa la jinai, ambalo unastahili kuitwa mchochezi??
 
Kichaa jiwe atampa onyo kali kupitia puppets wake. Don’t say anything negative about my government otherwise no more ruzuku.

Wataanza kumnyima ruzuku ya chama chake cha CUF

Hivi huyo Mwenyekiti Lipumba hajui kuwa ndani ya utawala wa awamu ya 5 kuusema ukweli kuhusu hali ngumu ya kiuchumi inayolikabili Taifa letu ni kosa la jinai, ambalo unastahili kuitwa mchochezi??
 
Profesa Lipumba: Hali ya uchumi Tanzania hairidhishi
By Muhammed Khamis, mwananchi mkhamis@mwananchi.co.tz
pic+lipumba.jpg

Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba amesema hali ya uchumi Tanzania hairidhishi na kwamba wananchi wanaishi kwenye maisha yasiyokua bora kinyume na matarajio.
Profesa Lipumba ambaye pia ni mbobezi wa uchumi ameyasema hayo leo Jumamosi Aprili 13, 2019 Unguja visiwani Zanzibar wakati akizungumza na viongozi pamoja na wanachama wa chama hicho katika mkutano maalumu uliofanyika Amani mjini hapa.

Amesemea hivi sasa maeneo mengi ya Tanzania hakuna mzunguko mzuri wa fedha hali ambayo imesababisha Watanzania walio wengi mijini na vijijini kuishi kwenye mazingira ya umaskini.
Hata hivyo, Profesa Lipumba amesema uwepo wa hali hiyo haukuwagusa wananchi wa kawaida pekee bali hata wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo na ndio maana biashara nyingi hivi sasa hazifanyi vizuri.

“Wafanyabiashara wadogo wakubwa wote wako hoi taabani hivi sasa jambo ambalo linasikitisha kwa nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania,” amesema Lipumba.

Kutokana na mazingira hayo ameleza dhamira ya chama chao ikiwa ni kuitumia fursa hiyo na kuwaeleza wananchi sababu ya wao kuchaguliwa na kushika madaraka hatimaye waweze kuondoa changamoto hiyo.

Profesa Lipumba amesema kwa changamoto hiyo ambayo imeikabili Tanzania chama chao kitahitaji kuweka wagombea bora na wenye uwezo watakaoweza kunadi sera zenye kuleta tija kwa wananchi wote.
Professor wa uchumi anaonhea bila hata references hata kama kaongea ukweli tofauti yake na wasioenda shule iko wapi alitakiwa kuja na references za kutosha kama alivyokuwa zamani zaidi ya apo ni siasa tu hana lolote mchumia Tumbo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuzungumza tu bila kushauri nini kifanyike ni sawa na chadema wanapopiga kelele kuhusu ufisadi halafu mafisadi wanayapokea na kuyakumbatia!
 
Profesa Lipumba: Hali ya uchumi Tanzania hairidhishi
By Muhammed Khamis, mwananchi mkhamis@mwananchi.co.tz
pic+lipumba.jpg

Unguja. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba amesema hali ya uchumi Tanzania hairidhishi na kwamba wananchi wanaishi kwenye maisha yasiyokua bora kinyume na matarajio.
Profesa Lipumba ambaye pia ni mbobezi wa uchumi ameyasema hayo leo Jumamosi Aprili 13, 2019 Unguja visiwani Zanzibar wakati akizungumza na viongozi pamoja na wanachama wa chama hicho katika mkutano maalumu uliofanyika Amani mjini hapa.

Amesemea hivi sasa maeneo mengi ya Tanzania hakuna mzunguko mzuri wa fedha hali ambayo imesababisha Watanzania walio wengi mijini na vijijini kuishi kwenye mazingira ya umaskini.
Hata hivyo, Profesa Lipumba amesema uwepo wa hali hiyo haukuwagusa wananchi wa kawaida pekee bali hata wafanyabiashara wakubwa kwa wadogo na ndio maana biashara nyingi hivi sasa hazifanyi vizuri.

“Wafanyabiashara wadogo wakubwa wote wako hoi taabani hivi sasa jambo ambalo linasikitisha kwa nchi yenye rasilimali nyingi kama Tanzania,” amesema Lipumba.

Kutokana na mazingira hayo ameleza dhamira ya chama chao ikiwa ni kuitumia fursa hiyo na kuwaeleza wananchi sababu ya wao kuchaguliwa na kushika madaraka hatimaye waweze kuondoa changamoto hiyo.

Profesa Lipumba amesema kwa changamoto hiyo ambayo imeikabili Tanzania chama chao kitahitaji kuweka wagombea bora na wenye uwezo watakaoweza kunadi sera zenye kuleta tija kwa wananchi wote.
Amesharuka masharti huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom