Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

Atakoma jaji kazui ruzuku sasa sijui itakuwaje.
 
Mengine yote nampinga huyu profesa lakini kwa hili upo sahihi baba, tangu tumpokee Lowassa ufisadi hauongelewi tena!
Serikali imeshindwa kumpeleka lowassa mahakamani kwa ajili ya ufisadi?
 
Mwanasiasa huwa haaminiki siku zote, hasa aliye na nywele ya kipilipili na ngozi yenye kustahimili jua. Atakuambia uongo hadi jina lake la uongo, I don't trust politicians as they can be driven at anytime by their own interests, those who gave them power and devils.
 
Lipumba ni ccmB, hata huo u profesa wake siuoni, anazidiwa hata na kale katoto kalikokuwa kanamuombesha maji bashite kuongea kimombo
 
Ni kweli CHADEMA kimepoteza dira. Kimekuwa chama cha matukio.
 
MsemajiUkweli

Nadhani akinyamaza sisi wengine ambao tumeendelea kumuheshimu tutaendelea kufanya hivyo .Yeye na CUF ipi? Mtu muungwana huheshimu maamuzi ya kikatiba kupitia vyombo vya juu vya vyama vyetu vinapofanya maamuzi .
Nikiona haya maandiko nakumbuka wimbo wa Christian Bella " Uko wapi ndugu yangu (yeye kasema mpenzi) nakuhitaji, popote ulipo ujue nakupenda"
Bringback Ben. Aliyekutendea haya Mungu wa haki atamuumbua kabla ya kifo chake mwenyewe.
 
Wala sitaki mwanangu a some hadi kuwa profesa!kama maprofesa ndivyo walivyo sitaki niamini kuwa hiki ni kiwango cha juu cha elimu ambacho ni bora kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…