utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Anasema hisa za ACACIA katika soko la dunia zimeanguka kwa asilimia 40, pamoja na kwamba wanafanya kazi na watu wakubwa na makampuni makubwa duniani.
Anasema kamati iliyoundwa na rais ilikuwa ni ya wataalamu bobezi maana ni ma professor na madaktari zamivu kwenye eneo hilo.
Na kwamba kamati hiyo imeibua mjadala ni wajibu sasa kwa taifa kujadili jambo hili la rasilimali za nchi kwa kina zaidi.
updates.1: anasema tume imetufungua macho, tuanzie hapo.
= = Prof anasema pamoja na hoja za msingi kuhusu kubadilisha sheria za mikataba zilizopo sasa lakini kampuni yoyote haitakiwi kudanganya kama aambavyo ACACIA wametudanganya sisi Tanzania