Prof. Lipumba akerwa na Zitto Mtwara



una VATAR ngapi mpaka sasa? maana hii umeifungua maalum kwa ajili hii.. halafu unajichangia maoni kujiunga mkono. kwa mtu mgeni asingeweza kuja na habar kama hii
 
Hivi Pasco umechangia au waweka likes tu. Naona una likes kwenye 'positives' na 'negatives', hadi sielewi msimamo wako...
 
Last edited by a moderator:

Asante mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Naomba niwaite zaidi Mchambuzi Waberoya Kimbunga Mbepo yamba GalaxyS3 THE BIG SHOWn (alwatan)

Halafu naomba turudi kule mahali kwetu tukajadiliane kiutu uzima.

wewe mpumbavu niliishakueleza do not mention my name, acha upuuzi, sasa hiyo story wewe kwa akili zako umeiamini na unaona iko sawa? ukiambiwa nimelala na mama yako utakimbilia kumuita waberoya??

ebu tuheshimiane bana, nimeishakukataza kuita jina langu au kumention kwenye vitu nonsense kama hivi

wewe ka akili yako unaona kabisa hilo swala ni kweli? hivi wewe mwenzetu una ubongo gani?

please unataka mwenyewe kuropokewa hovyo, story hiyo sio standard ya JF ni standard ya wenye ubongo mdogo kama wewe

i told u grow up, get life!!

mtafute Lipumba na zito waulize kisha uhoji integrity za hao watu

chuki zako kwa zitto zinapofusha ubongo wako, mtu wa hadhi yako hawi gullible kama wewe

try to hide that plz. Zitto sio saizi yako na hutaweza kumshusha humu JF

kwa akili za kwaida kabisa utakuwa mchawi wewe, huwezi kumchukia mtu kiasi hicho. wenzako tunachukia na anapopatia nasifiwa. sasa wewe story za vijiweni unaita watu na akili zao waje kuchangia uzi ambazo hauna kichwa wala miguu

unaendelea kujidhalilisha,

msaidieni huyu jamani
 
Ni rahisi sana kuijua ngozi halisi ya mtu anaejifanya amevaa ngozi ya kondoo. Maada yenyewe imeanzishwa na new comer kama hilo hujaliona hata kuhoji source ya taarifa yenyewe?
MKUU chamviga shikamoo...habari ya siku nyingi? Lini utavua magamba uungane na wapigania ukombozi wa pili wa taifa letu?
 
ACT wanafirimbana wenyewe.....
 
Hamjakutana na maraisi madikteta, usingekuwa unaropoka hapa ovyo, unasema nimuulize Wasira kwani yeye ndio ccm? Shukuruni Kikwete sio dicteta.

Bwanamdogo hili siyo jukwaa la vitisho , chunga sana maandishi yako .
 
Mimi nimewaita tu, sijasema hiyo story ni kweli au si kweli.
Nimewaita tu. Hakuna sababu za kutukana, nafahamu kipindi hiki una wakati mgumu. Vumilia mkuu

Narudia nimewaita sijasema chochote
 
Ni rahisi sana kuijua ngozi halisi ya mtu anaejifanya amevaa ngozi ya kondoo. Maada yenyewe imeanzishwa na new comer kama hilo hujaliona hata kuhoji source ya taarifa yenyewe?
Mada zote mlikuwa hamtokei, na wala sijasema hii mada ni kweli au si kweli. Nimewaalika nijue kama bado mpo jamvini.

Nimewaalika tu wakuu.
 
Hivi Pasco umechangia au waweka likes tu. Naona una likes kwenye 'positives' na 'negatives', hadi sielewi msimamo wako...

ukimgusa zitto au lowasa basi ujue moja kwa moja umemgusa pasco , ana ' maslahi ' mapana sana na watu hawa !
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Zitto anaingiaje hapa? Mimi sijamtaja wala sijasema neno kuhusu mada. Nilichofanya ilikuwa ku checki nanyi kama mpo jamvini! hilo tu.

Rudi ukaangalie bandiko langu, halina neno isipokuwa mwaliko, tena nikasisitiza turudi kule kwa utu uzima maana hapa mtajichafua.

Tafadhali usiniwekee maneno, sijamtaja Zitto, sina chuki na Zitto au wapambe wake. Teh teh teh mkuu, kama wewe una wakati mgumu kweli, hujui hatima ya mzee kisiasa! si kuw aunamlilia mzee, unaililia nafsi yako na hilo tunalielewa na kkulitambua. Ajira siku hizi tabu na wala hatupendi kuona mtu anapoteza yake.

Mkuu masalaam,
wasalimie huko nyumbani
 
Hakuna kitu kibaya kama kukataliwa. Lazima utafanya mambo hata ya uwendawazimu katika kujaribu kurudisha heshima
 

Pole sana, I am an Engineer, acha kuchekesha watu na hapa jamvini nimeishatumia sana jina langu kwa muda mrefu na baadae kuomba kubadilisha, usisahau pia ni Lecturer UDSM

ona sasa

likely niko hu,u tangu 2008, umeingia 2010

sorry hutaona nasoma post zako wala kukujibu unaingia directly kwa I.L
 
Hivi Pasco umechangia au waweka likes tu. Naona una likes kwenye 'positives' na 'negatives', hadi sielewi msimamo wako...

Dah! Mkuu hiyo inamanisha Pasco yuko neutral. +ve + -ve = 0 (neutral).
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…