Prof. Lipumba ajitosa urais UKAWA


Uzinifu wa Slaa unakuwa defined kwenye kitabu kipi na aya ipi?

Na kwa nini 'uzinifu' wa Slaa uwe ndio kigezo cha kutokuwa Rais na unawaimbia mapambio wezi, wabadhirifu, makatili, wahuni wengi wengine? Kwenye kitabu gani na sura ipi pameandikwa mzinifu asiwe rais ila mwizi, mla rushwa, mwongo na fisadi ni sawa kwa Urais?
 
Sheikh hawezi kuongoza hadi labda 2025 inshallah. Na ikitokea sheikh akataka urais na akawa anazo sifa, wakristo watamchagua tu. Wakristo hawana tatizo na dini ya mgombea. Waislam msiwe na hofu na wakristo.

Hatuna hofu na mkristo.

Tusichotaka ni kuona Padre Askofu Sheikh Imam anakua rais wa nchi hii.

Hilo hatulitak.

Hao watu wabakie kuongoza ibada tuh.

Siasa waziache kwa wanasiasa.
 
Swali moja tu la msingi?

Kwa sifa zote hizo ni nini kimefanya ushindi wake kushuka kwa kasi kuanzia 2010 na nini kimefanya chama chake kupoteza mvuto kila kukicha pamoja na uprofesa wake?

Si ni kwa ajili ya kampeni zenu za makanisani 2010??


Mmesahau au?
 
Kwangu mimi kiongoz hawez kuwa mzinifu.

Na kama kaz ya mungu ilimshinda atawezaje kuifanya kazi ya kuongoza taifa??

Padre slaa achukue time zake.
Ni aya gani kwenye Quran inatamka haya? Kwaiyo Quran inachukia uzinzi inaruhusu dhulma?
 
Swali moja tu la msingi?

Kwa sifa zote hizo ni nini kimefanya ushindi wake kushuka kwa kasi kuanzia 2010 na nini kimefanya chama chake kupoteza mvuto kila kukicha pamoja na uprofesa wake?

Kilichofanta ushindi wake kushuka ni baada ya waislam kumpigia JK kura na wakristo kumpigia padre Slaa kura na mwenyewe alilidhia zishuke mradi tu ziende kwa muislam mwenzio kikwete na sio padre.
 
Si ni kwa ajili ya kampeni zenu za makanisani 2010??


Mmesahau au?
Kwani Kanisani si ndiko Alhaji Kikwete aliitwa Chaguo la Mungu? Au hiyo ya maaskofu kumwita JK chaguo la Mungu hukuisikia? Au ile kauli ina swii?
 
Padre akiwa rais anakuwa Pope? Sheikh akiwa rais ndio nini? Mbona wakristo hawana tatizo? Woga huu waislam unatokana na nini? Wakristo hawawaogopi waislam, mbona nyie mna hofu sana na Wakristo? Mna agenda gani dhidi ya UKRISTO Tanzania?

Kwa nini nyinyi mumnyime JK kura 2010 kisa tu ni muislam? Sisi hatuna woga bali hatutaki dhulma na ukandamizaji jua kwenye uislam ni haram muislam kukubali kudhulumiwa au kukandamizwa misingi mliyokaiasisi nchi hii na mwl. Nyerere ni kutukandamiza waislam sasa tukichoka hapatakarika ndicho tusichokitaka hicho.
 
Kama hamtaki dhulma na ukandamizaji tutajie ni nani kati ya wanaotajwa kuutaka urais hana dhulma na udhalilishaji
 
UKAWA ni umoja wa hovyo hovyo kabisa!Walitangaza kuungana bila kuongea nani atagombea nn na wapi kwa viongozi hawa wa kitaifa!Hii inatuonyesha hawana lolote zaidi ya kuungana kwa mkumbo tu!Kuteuana wangeacha tu iwe kwa Ubunge lkn oval office walipaswa waongee wawe kimywa wamchague mmoja wao!

Kila chama kuteua mgombea U Rais kunawapa nafasi CCM kuonyesha UMMA kuwa UKAWA wakiwa bado miezi 5 tu uchaguzi hawajui nani awe Rais!

Watakuja hapa Oktoba kama waliibiwa kura wakati matatizo ni yao wenyewe!Hakika nawaambia mkiishindwa CCM hii iliyo pasuka kwa uzembe wenu wa kutoongea mapema mnataka nn watz watawacha bakora na hatuwasamehe milele!
 
Hivi Prof. Lipumba hana makando kando ya ufisadi na mengine ambayo yatafanya asiwe rais wa TZ? Naomba kujua jamani
 

Umepanik brother? Nani kakuambia mtwara ni home? Nani kakuambia nipo dsm? Nani kakuambia naogopa kujulikana na hata hao wadukuzi wakinijua watanifanya nini kwani wananidai? Siwezi kuandamana sababu najua athari zake ni kubwa kwa nchi tulivu kama hii kama nina madai basi zipo njia za kudai na sio vurugu.
 
hahahahaha..... Mkimsimamisha lipumba ntampa kura , lakini padre slaa NO THANK YOU!

kwahiyo Zanzibar wagombee CUF na huku bara wagombee CUF? nguvu ya cuf ni zanzibar huku bara ni chadema
 
Kamanda mbona umepanic ghafla hebu tulizana kunywa class moja ya rubisi au wanzuki kisha tulia kama dakika 5 hivi munkari utashuka kisha rudi kwenye mjadala wa Lipumba ukikasirika na akili ina ahama.

Pole sana kamanda wa ukweli.
 
Hatugombani kamwe yeyote atakayepitishwa kupeperusha bendera ya UKAWA tutamuunga mkono. Nyie endeleeni kukimbizwa mchakamchaka na mzee mamvi.
 

Keshapagawa huyo mkuu.

Teh teh teh

Nchi hii haiwez ongozwa na padre.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…