GE2025 Prof. Kitila: Rais Samia ameonyesha uimara wa kutosha katika kuongoza nchi

GE2025 Prof. Kitila: Rais Samia ameonyesha uimara wa kutosha katika kuongoza nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo Professa Kitila Mkumbo, amewasihi watanzania kumpigia kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, akieleza kuwa Mgombea huyo anasifa zote za Kiongozi mkuu wa Nchi, ikiwemo uimara

‎Ameeleza hayo leo Oktoba 12, 2025 alipokuwa katika Mkutano wa kampeni wa Chama hicho, uliofanyika kiwanja cha Gine Makurumla jijini Dar es salaam

‎"Dkt. Samia, Mgombea wetu, ambaye pia ndio Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, ameonyesha uimara wa kutosha" amesema Prof. Kitila

‎Amesema licha ya Mgombea huyo kuwa imara, lakini pia anatoka Chama imara na ameonyesha uwezo dhahiri wa kuiongoza nchi katika kipindi alichokuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

‎"katika wagombea wote mwaka huu mwenye uzoefu mwenye uwezo kwa rekodi isiyotia shaka ni mama yetu Dkt. Samia Suluhu Hassan" ameongeza Kitila


 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.


Share na mwenzako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom