Tetesi: Prof Kitila Mkumbo ndiye hitaji la Wana Iramba kwa sasa

Wana irmba mash sijui mbunge wao nani saiv. Nakumbuka 2010 ni Salome Mwambu. Magharibi ni Madelu Mwigulu Nchemba.
 
Mwigulu kumbe nae ni kibaraka wa mabeberu!! Sasa wananchi walifanya kosa gani wakat chama ndo kilipeleka jina hilo!!
Soma ujumbe vizuri yeye kasema mashariki wakati Mwigulu ni Iramba magharibi. Mtoa post haelewi kaandika nini. Iramba mash kuna jamaa moja hana makuu na hasikiki sana Bungeni
 
Kwani akija ndo umaskini wa wananchi utaisha? Au maji, barabara zitajengwa?
Inasemekana Prof. Kitila Mkumbo wana Iramba wanamsubiri kwa hamu kubwa sana.

Mbunge anayemaliza muda wake anahaha kujinusuru.

Let us wait and see.
 
sasa wamemuomb msamahaaa magufuli kwa lipi sasa nakma nani
 
shida ya mabeberu hawa ishi hapa hata misaada wanayotoaga huwa hatupokei kwa sababu wanaishi hapa, tunajua hawaishi hapa ndo maana misaada tunapokea na wanatupa mashinikizo na tunayakubali kwasababu misaada yao tunaitaka ni mitaamu sisi njaa, njaa zetu ndo zinafanya leo tuite mabeberu watupe misaada na kuwaomba waje kuwekeza na kuangalia mbuga zetu aiseee njaaa mbaya sana
 
Vipi Diwani hawabadilishi? Maana Iramba tunataka iwe kama Dubai
 
Kwahiyo Kitila anagombea Iramba Mashariki au Magharibi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…