BABA E's
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 354
- 136
Habari za jikoni zinasema Prof. kitila Mkumbo amechaguliwa rasmi leo kuwa mwenyekiti wa UDASA. Ana changamoto kubwa ya kuirudisha UDASA ya zamani. Aliyekuwa anamaliza muda wake Dr. Fransis Michael ameambulia zomeazomea kadhaa kuashilia kwamba hakuiongoza vizuri UDASA.
Kila la kheri Prof. Mkumbo tunategemea utaiamsha UDASA iliyolala.
Kila la kheri Prof. Mkumbo tunategemea utaiamsha UDASA iliyolala.