Prof. Kitila Mkumbo, muogope Mungu!

Yaani Elimu ya Tz inatia shaka ndiyo maana kipaumbele cha Lowassa 1.Elimu 2.Elimu 3.Elimu Msomi ndiyo tunategemea waelimishe jamii lakini.....mmmh!
 
Hivi hakuangalia ukabila ulivyofanya kazi mikoa ya ziwa?,hata Dodoma

Charity begins at home, both powerful Presidential candidates got support from their home regions; hivo hoja hii siyo
 
Tatizo kubwa sana la wapinzani wa Tanzania kamwe hawakubali kushauriwa. Daima wanaowashauri wanaishia kutukanwa kukejeliwa na kupuuzwa. Hata kwa jambo lililowazi wao wanaziba masikio na kutarajia miujiza ya mungu. Wakati CCM wanakubali ushauri na kila siku wako dynamic kwenda na wakati husika.Kwa mtindo huu CCM watashinda chaguzi milele
 
Charity begins at home, both powerful Presidential candidates got support from their home regions; hivo hoja hii siyo
Sometimes it does not apply even Jesus was denied by his home people.
 
Pia tumuulize Profesa amepitia matokeo yote ya uchaguzi ya kura zilizopigwa vijijini na kukuta Magufuli anaongoza?

Swali hili ni la muhimu kuliko yote. Wengi wa Maprofesa wetu wa Kitanzania ni wa kinadharia inayoongozwa na hisia zaidi.
 
Wakati mwingine inakua ngumu sana kumuelewa prof mkumbo,lowasa alipo hamia chadema kupitia bbc mkumbo alitoa pongezi kubwa sana kua ukawa wamepa mshambuliaji aina ya messi leo hiii anamuona fisadi.
 
Last edited by a moderator:
Niliacha kumwamini kitila nilipogundua kuwa anachukua buku saba pale lumumba
 

CC: Pasco
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Salary Slip, thanks kwa tag, ndio naiona hii kitu!.

P.
 

Sasa si Kasema kile anachokiamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…