Akiwa katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 ITV Septema 8, 2025, Professor Kitila Mkumbo alisema haya kuhusu suala la utekaji na ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
"ilani ya CCM ina vipaumbele tisa, kwa mfano kipaumbele cha sita ni kudumisha demokrasia na utawala bora, hapa tunazungumzia habari za haki....tumekemea vitendo vya utekaji na tumelitaka Jeshi la Polisi ambalo lina dhamana kuhakikisha kwamba watu wote ambao wanadaiwa kupotea wanatafutwa, wanapatikana...."Mwenyekiti Kamati ndogo iliyoandaa ilani ya CCM- Prof.Kitila Mkumbo
Chanzo: ITV DIGITAL