Prof. Kitila Mkumbo arejea rasmi CCM

Hii ni sawa na kuchukua pesa zako kutoka mfuko wa kulia wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kushoto!
 
Dr, saafi sana,one principle of workers relation ship with employers inasema hivi as a worker you need to know where the powers lie
 
Mkuu, chadema alipigwa chini baada ya kutangaza nia ya kugombea uenyekiti wa chama: hiyo ilikuwa ni kuhatarisha nafasi ya mfalme wa chama.
 
Anawatoto nayeye, ameangalia mstakabari wake wa maisha ya hapo mbele.
Kwamba kwa level ya profesa huwezi kufanya maisha nje ya siasa?! Hii nchi ya ajabu kama tutakua tumefikia huko
 
Hilo tayari limekamilika,
tunamsubiria yule wa buguruni.
Kweli njaa haina ubaunsa.
 
Namkumbuka maneno yake ya mwisho mwisho upinzani
"Kile kilichofanyika Dodoma sio mabadiliko na ni kuhadaa wananchi, na hakuna kitu"
Alikuwa ITV akim challange ndugu yangu Pole Pole
Karibu ila huku siku hizi panahitaji moyo kutetea jambo
Mazuri yapo ila madoa yanaonekana sana
 
karudi nyumbani baada ya kumaliza kazi aliyotumwa....
Bado anna mgwira
 
Sheria za utumishi wa umma kwa nafasi yake zinasemaje?
Nami nina shaka juu ya utumishi wa ngazi ile kama anaruhusiwa kujiunga na chama cha siasa na hasa kwa hadhara kiasi kile.-
 
Rasmi kivipi?kwani siku zote alikuwa chama gani?Kwanini tunajitoa ufahamu?
 
Wenye akili tulikuwa tukiijua hii kwamba he has always been a member of the ruling party. Ninawashangaa nyie mnaoshangaa leo
 
kweli intelijensia ya cdm kiboko..
hivi njaa inawakamata hata maprofesa
halafu hata nilivyokuwa nikisoma nyuzi na michango yake humu nilikuwa na machale naye
 
Akijaribu kuthubutu wanyaturu watampa somo zuri sana, mtakuwa mashuhuda.
Hata wakimpa somo zuri wao watapewa somo baya. Siwezi kumtangaza mgombea wa chadema hata akishinda maana nalipwa na serikali ya CCM.
 
Kumbe mbowe ni kàmanda wa anga, aliwastukia mapema Hawa jamaa akawapiga chini mapema sana ..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…