Prof. Kitila Mkumbo arejea rasmi CCM

Mkuu wewe bwabwaja tu lakini NJAA haina mbabe hata uwe na degree 500!
 
Ki msingi Kitila Mkumbo hakuwahi kua nje ya CCM hata siku moja.

In fact anaonekana kama anarejea CCM ila ni baada ya kua upande wa pili "On Special Mission".

Sheria zetu haziruhusu kwa Mtumishi wa Umma kujihusisha na Siasa moja kwa moja na akaendelea kua Mtumishi wa Umma. Ila kwa huyu Jamaa ye aliruhusiwa sababu ya hiyo "Special Mission" yake ambae bahati mbaya wengine hawakuishtukia.

Serikali gani ingemfukuza Ualimu UD wakati Chama kinachoendesha hiyo serikali ndicho kilikua kikifaidika na kunufaika kwa "mission" zake alizokua akizifanya akiwa kwenye vyama vingine??
 
Siasa ni mchezo mchafu, Mkumbo sasa hivi yuko kwenye system, siku zote ukitaka kula vizuri lazima uwe kwenye system mazima. Mama Anna Mghwira naye siku si nyingi atahamia CCM.
Mkuu system ipi unaizungumzia? Unamfahamu Kitila Mkumbo? Kiufupi hakuwai kuwa nje ya hiyo unayoiita system.
 

Hahahahahahahaha......mkuu hivi Kama angehamia Chadema au Chama chochote cha upinzani...ungeyaandika haya uliyoyaandika? Au ungekuwa na maoni tofauti?

Maana ume investigate, uka prosecute na kutoa hukumu!
 
Kiukweli ukisoma sana unakuwa mjinga zaidi

Umasikini ni mbaya sana
 
Kama ni kweli tetesi hizi tunamkaribisha Prof akaikomboe Singida... Ile
 
Zitto arudi tu CHADEMA vinginevyo ajitose mzimamzima CCM ijulikane moja kwa moja kuwa naye ni sehemu ya Chama twawala.
 
Alijenga chama juu ya tope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…