comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Mbona yeye anashinda ACT wazalendo? Anatafuta kiki huyo ni wivuWana jamvi Salaam
Mhadhiri Muandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.
Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).
Chanzo: Tanzania Daima
Yeye akiteuliwa ATAKATAA?Wana jamvi
Salaam
Mhadhiri Muandamizi wa Chuo kikuu cha Daresalaam Prof Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kua vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali, Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu viliathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni chuo kikuu cha Daresalaam na Chuo kikuu cha Dodoma
Chanzo: Tanzania Daima
Wana jamvi

Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Huwezi kua Dr. Au Prof kwa siku moja.Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Mkuu plann ipo lakini ipo timely kabisa wanajua lini atastaafu long term plan hiyo lakini linapokuja suala la teuzi za ghafla inakua shida, wanaweza kuazima temporary kutoka sehemu ingine sasa Dr and Prof wengi wameondoka kwa ghafla hii haiko vizuri kabisa
Mmmmh hizo course za COET [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vyuo mnavyoviita ni peripheral zipo hasa hiyo ya mwisho?Yupo sahihi kuna majembe wameondoka CoET/UDSM pale hatari.Prof Rubaratuka bingwa wa indeterminant structures, Dr chamuliho Construction manegement, Dr Mwinuka jembe la mechancal, Prof Lema daaah ni hatari sana
Hiyo ni koz moja kati ya nying wanzosoma.Hakuna 1st degree ya construction management mlimani.Mmmmh hizo course za COET [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vyuo mnavyoviita ni peripheral zipo hasa hiyo ya mwisho?
Na mechancal?Hiyo ni koz moja kati ya nying wanzosoma.Hakuna 1st degree ya construction management mlimani.
ipoNa mechancal?
Mechancal? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nlisahau kumbe nachati na mwalimu wa kiswahili.MECHANICAL ENGINEERING.Mechancal? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]