Prof Kapuya ajisalimisha kwa Zitto

“Ni kweli mimi ninakodisha, lakini kiasi ninachochukua ni kidogo kuliko kile anachochukua Waziri Magufuli katika Wilaya ya Chato, kwani naye anaikodishia halmashauri ya wilaya yake jengo linalotumika kama ofisi,” alisema Kapuya.

Ina maana Kapuya ndiyo amepungukiwa akili kiasi hiki?
 
Kwani hujui kama zito ni naibu katibu mkuu wa chadema? Kwan mwigulu anapoenda kuhutubia mwanza ni jimboni kwake? ..vijana mbona mnakurupuka? Tulieni.
 
Huyo Prof Kapuya alimuachia Zitto sh ngapi? Maana Zitto hanyamazishwi hivihivi burebure lazima akazichukue CRDB au Berlin kupitia account ya yule demu.

Wengine kwa udaku kama waimba taarabu? kama ni rahisi kupata pesa hivyo jaribu na wewe basi!
 
Back
Top Bottom