Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, Waziri wa habari Prof Kabudi amewahimiza waandishi wa habari kuacha kupokea rushwa na bahasha za kahawia kwani wananchi wanahitaji habari zenye uzito wa hoja na si uzito wa posho.
"Tujiepushe na dhana ya bahasha ya kahawia, rushwa katika uandishi w ahabari ni doa kubwa kwa taaluma yetu. Wananchi wanahitaji habari zenye uzito wa hoja siyo uzito wa posho.
Rushwa katika sekta ya habari hupoteza uaminifu wa vyombo vya habari, huhangia katika kupotosha umma, hudhohofisha demokrasia, huchangia kukuza ufisadi, huzuia uwajibikaji wa viongozi, hudumaza maendeleo na kuhatarisha maisha ya waandishi waadilifu." - Prof Kabudi