Prof. Kabudi: Makonda kavunja sheria na faragha za watu kuwaita wanawake na watoto. Ilitakiwa kuwa siri sio alivyofanya

tuna rais wa ajabu haijapata kutokea.. Ubaya na madudu na ukatili wa huyu kibushuti utajulikana akiondoka madarakani.. wasaidizi wake ndio watakuja kupata shida amini nawaambia
 
Huyu anaanza kugusa pasipogusika!
xmaguful-makonda45-1-640x375.jpg.pagespeed.ic.PEUCQM_Z24.jpg

Sky Eclat
Kuna mahali nilisikia wakisema "Akati kalakusiiga a'mazi, okanhyela n'okabona" wakiimanisha "Njiti itakayokupaka mavi, unainyea ukiiona".
 
Kuna mahali nilisikia wakisema "Akati kalakusiiga a'mazi, okanhyela n'okabona" wakiimanisha "Njiti itakayokupaka mavi, unainyea ukiiona".
Exactly msemo wa kanda ya ziwa Kagera. Hiki kijiti kuna siku kitampaka mavi! IT IS A MATTER OF TIME
 
Prof kabudi visasi kwako havina nafasi kwa RC makonda tangu enzi zile za bunge la katiba alipompatia kichapo jaji warioba mwenyekiti wako ilikuumaje?
 
Hahahaaaaa umenikosha ndugu, coz unajua mtoto mbeya kuliko wote nyumbani anayependa kusema siri za mama hatakamani mbululaa kiasi gani lazima baba ampende coz si ndio mbea wake...
Hawa jamii hii huwa wana kasumba mnatoroka pamoja home but yeye huwa na tendense ya kurudi kabla yenu na kujikosha kwa unoko kibao, utasikia wapo mtoni wanaogelea nahuku naye alikuwemo
 
Magufuli has been compromised by Makonda; it is up to TISS to make sure that they make it difficult for Makonda to access the president for the security of the country!!

mkuu sikujui ila umeongea jambo kama usalama wapo kweli waone hio kitu
 
Polofesa watch out!!! Not to that extent ...

Malaika Jiwe anakujua vizuri alikuteua kwa kuufahamu udhaifu wa nafsi yako coz wewe ni mtu wa kununulika na kugeukageuka ...

Ndio maana ulikua tayari kulamba matapishi yako uliyotapika katika bunge la katiba, Tena ukayaramba bila kinyaa mbeke ya kamera ukatutia kichefuchefu watu woote naukakitia najisi cheo chako cha Upolofesa ...

Sasa unamkosoa mtoto wa Malaika Jiwe itakukost, alishesema ndio huyohuyo anamtaka hapangiwi ...

Jiangalie utaondolewa katika list ya utawala mtukufu ambao unatarajia kwenda kutawala malaika mbinguni ...

Wewe shauri yako wenzio hao wameletwa na Mungu kwa hiyo kuwakosoa ni sawa na kumkosoa Mungu Ohooo!!!
 
Mbunge Mlinga ametoa hoja bungeni kuwa Makonda hakuwatendea haki wabunge kwa kuwataja kuwa wametelekeza watoto. Wabunge wengine wamesema Makonda yuko sahihi na wale wote waliotelekeza watoto wakatoe matunzo. Mbunge Msukuma ametoa maoni ambayo kwa kweli yalikosa ustaarabu kabisa na siwezi kuyaweka hapa. Chanzo TBC!
Unaogopa kuyaweka ili iweje. Nimemsikiliza kasema kuna watu kuzaa hawawezi ndiyo maana wamekwenda kupandikiza mayai kwa wake zao na kwa sababu yameonekana yanafanana imeshindikana na mwisho wa yote wamependikiza mayai ya watu wengine mpaka mimba ikashika, anauliza je baba wa mayai akidai motto wake watafanyaje?
 
Back
Top Bottom