Prof Kabudi kauanza mpira kama Ajib

Prof Kabudi kauanza mpira kama Ajib

Amini mimi nikuambiacho, hii nchi hata tukimpa mwanafunzi wa O Level hatotuongoza hivi.

Wengi walibashiri kuwekwa kwa Kabudi ni kupambana na Lissu, hajakaa hata siku mbili kaanza na Lissu huyohuyo, hivi huyu mtu ana akili timamu kweli? Profesaaaa!!!?????
Mbona tayari wa 0 yupo pale Ilala bomani anaongoza nkoa nkuu wenyewe mnamwita naibu rais

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe anasema kwa jinsi mchozo alivyouona ameamua kumuweka Prof Kabudi forward ili washinde mechi!

Kuingia tu dimbani Kabudi ameharibu game! Mi naona kocha ndo zero. Amebadilisha wachezaji ɓila kuusoma vizuri mchezo! Atarajie mvua ya magoli!
Yaani Kabudi kanichekesha kapewa apige penati wakati hakuna golikipa akapiga njee kabisa tena mpira kauelekeza jukwaa kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwisho wa siku huyo lisu wenuwala atakua hajawasaidia kwa lolote, atatulia km sio mwanasiasa na maisha yatasonga. acheni ushabiki usio na tija, ccm ni chama makini sana hakiwezi kushindana na huyo mpuizi wenu
jina tu linaonesha kuwa wewe ni shemale
 
mwisho wa siku huyo lisu wenuwala atakua hajawasaidia kwa lolote, atatulia km sio mwanasiasa na maisha yatasonga. acheni ushabiki usio na tija, ccm ni chama makini sana hakiwezi kushindana na huyo mpuizi wenu
Avatar yako inasadifu jinsi ulivyokuwa mshamba na mjinga na mpumbavu kwa ujumla.
 
assignment ya kwanza aanzie Hardtalk!! tunasubiri kwa hamu ....hakuna kurusha ngumi...
 
Avatar yako inasadifu jinsi ulivyokuwa mshamba na mjinga na mpumbavu kwa ujumla.
OK, just keep waiting for some food in empty pot, issue ya lisu ni upupo na utapita afu mtadandia hoja nyingine. yaani upinzani nchi hii hovyo kabisa
 
PROF KABUDI KAUANZA MPIRA KAMA AJIB

Na Thadei Ole Mushi.

Ile Match kati ya Lisu na Prof Kabudi tayari imeashaanza na aliyeuanza mpira huo ni Prof Kabudi kapiga Mpira Nje kama alivyofanya Ajib kwenye match ya Raundi ya kwanza vs Simba.

Kabudi kaanza kwa kusema kuna watu wanaisema nchi vibaya huko njee na ni bora wakae Kimya.

Lisu ameonekana kutulia na kuurudisha Mpira uwanjani tayari ameshajibu kuwa kuna tofauti kati ya Nchi na Serikali.

Raisi wa 26 wa Marekani aliwahi kusema namnukuu "Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president" ( Uzalendo ni kusimama na Nchi yako, Uzalendo haumaanishi kusimama na Rais) #Ni wakati wa Kupima sasa hivi Lisu anaikosoa Serikali au Nchi? Lisu anaitukana Tanzania au Serikali? Je kwa sheria zetu Lisu kavunja sheria?

Mwelekeo!!!

Kabudi anataka kuelekea Mwelekeo ule ule wa Kina Musiba na wengineo. Tulichokikosa awali vilikuwa ni vitu viwili kwanza mtu Credible ambaye angeweza kujibu hoja za Lisu lakini cha Pili tunajibu kwa kupambana naye au tunamsaidia kupata wahalifu wake.

Serikali ina jukumu la kusaidia na kuonyesha dunia kuwa haihusiki. Aidha iwe watatumia upelelezi dhahiri au watadanganya lakini Mwelekeo wa Ushindi wetu ni kulaani mashambulizi dhidi ya Lisu na kumsaidia katika kuwabaini waliomdhuru.

Kwa kufanya hivyo tungeishinda hii game mapema sana.... Huu ndio Mwelekeo wa ushindi.

Rais wetu Leo kafungua Ukurasa mpya ambao ndio Mwelekeo anaoutaka. Swala la Mo kutekwa limemuongezea wafuasi mno kwa namna Mh Rais alivyolizungumzia.

Huo ndio Mwelekeo unaohitajika, Kabudi ana la kujifunza labla ya kuanza kuattack hoja za Issue ya Lisu. Nilijua yupo aggressive sana na angeanza na Issue hii. Jana nilisema kuwa ujio wake unabeba agenda gani kwenye hii Wizara na ataanza na issue ya Lisu na kama nikivyotabiri yametimia.

Katoa Mpira njee....umerudishwa kati haya tunaangalia kwanza Ball possession.....

Ole Mushi
0712702602

Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
Tuanze na anayefokea walio mzidi umri
 
mwisho wa siku huyo lisu wenuwala atakua hajawasaidia kwa lolote, atatulia km sio mwanasiasa na maisha yatasonga. acheni ushabiki usio na tija, ccm ni chama makini sana hakiwezi kushindana na huyo mpuizi wenu
Risasi 38..hivi mpuuzi si anapuuzwa ..sasa mirisasi yote hiyo..Rage anamsemo wake waliokuja mjini Na mbio za mwenge..you can't be serious
 
Kuna mtu anamshauri jiwe kuelekeza shingo kibra.... Sielewi kwanini hashituki.
 
.....
......jamaa mmoja tu lakini kila mtu anatoka na nundu
 
Back
Top Bottom