Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,552
Jiamini mkuu umefanikiwa kuwahi
its Lissu vs CCM; naona CCM wamefanya sub....
Tatizo la walimu wanadhani kila MTU ni mwanafunzi wao. Wanafokafoka tuIla kabudi bwana, yani kuna mda unajiuliza hivi huyu ilikuwaje akawa pofesa, kwamba kuwa profesa tanzania ni lazima uwe mjinga mjinga!?
Kabudi unatufanya wanaume wenzako tujisikie aibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Macho Yale....duh!sijui alikua anamtisha nani?wanachelewa hawa wa shamba jamani!.
Sio kabudi tu, hata rais, akili zao ni za chini mno.Ila kabudi bwana, yani kuna mda unajiuliza hivi huyu ilikuwaje akawa pofesa, kwamba kuwa profesa tanzania ni lazima uwe mjinga mjinga!?
Kabudi unatufanya wanaume wenzako tujisikie aibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hii substitution mmefanya ya nini?!?!mwisho wa siku huyo wala atakua hajawasaidia kwa lolote, atatulia km sio mwanasiasa na maisha yatasonga. acheni ushabiki usio na tija, ccm ni chama makini sana hakiwezi kushindana na huyo mpuizi wenu