Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,378
- 18,747
Profesa mjinga Kuwahi kutokea......Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo Agosti 29, 2025
View attachment 3457821
Je napo giza litatandaa?The birds will be flying high tomorrow.”
Caesar cipher seems to be used more than
Vigenère cipher
Continue Steganographying between RM and JK
Britanicca
Speak English....🙃Je napo giza litatandaa?
Prof Kabudi bwana. Hapo angekosa fursa ya kugombea ubunge asingesema hivi. Muda mwingine ni vyema kuwa na kiasi Rais sio Mungu.Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo Agosti 29, 2025
Is ze darkness going to prevail for a while?Speak English....🙃
Sasa kuna haja gani ya kuwa Profesa kama asiye Profesa anaweza kuwa na maoni makubwa kuliko? Nashauri Kabudi avuliwe u-Profesa na Mamlaka husika kwa kweli.Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo Agosti 29, 2025
Huyu si ndo alikua na Polepole kipindi cha katiba huyu mzee ameshaonja pesa ya kwenye siasa kitendo cha kutolewa UDSM akasema ametoka jalalani tokea hapo huwa namuona kama ni mtu mpumbavu ambae hajawahi kutokeaProfesa mjinga Kuwahi kutokea......
Alifinywa kidogo alipostaafishwa kuonyeshwa jinsi maisha yanaweza kuwa tofauti🐼Huyu si ndo alikua na Polepole kipindi cha katiba huyu mzee ameshaonja pesa ya kwenye siasa kitendo cha kutolewa UDSM akasema ametoka jalalani tokea hapo huwa namuona kama ni mtu mpumbavu ambae hajawahi kutokea
Prof madagascar, akaingiza watu mkengeProfesa mjinga Kuwahi kutokea......
Ndoto za jalalani bado zipo kumbe!Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo Agosti 29, 2025
Mashaalah 🙏Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo Agosti 29, 2025