Prof Janabi awekwa mtu kati

Mct inamtambua, kamaliza digrii ya kwanza ya udaktari mwaka 1989 Ukraine.
Nilijua tu lazima uzame mct, nikuibie tu siri huo utambuzi atakua ameupata hivi karibuni...haya embu niambie hiyo specialist ya cardiology wanayosema anayo kaipata wapi?. Maana huwa mnampa cheo cha udaktari bingwa wa magonjwa ya moyo.
 
Kuitaja MCT hivi ni logical fallacy ya "argument from authority".

Hii haina tofauti na kufanya kitu kwa sababu ya "amri kutoka juu" bila kuelewa sababu.
 
Dah Imeniacha mdomo wazi yaani Profesa ameonekana muongo na hajui anachokiongea,naanza kupata mashaka na ubora wa elimu yetu
 
Kimutaja MCT hivi ni logical fallacy ya "argument from authority".

Hii haina tofauti na kufanya kitu kwa sababu ya "amri kutoka juu" bila kuelewa sababu.
Watu hawaelewi mkuu,..Janabi yupo hapo alipo kisiasa tu na ushikaji but kusema ukweli siyo daktari wa ukweli labda wa mchongo tu maana hata hiyo MD yake ya ukraine sijui nna wasiwasi nayo
 
Kwa mfano mtu anayekula ndizi kumi kwa pamoja amekuka sukari nyingi kuliko aliyekula ndizi moja na chungwa moja.
 
Prof.Janabi akiambiwa uongo wake na Mkali wa Bio-Chemistry View attachment 3309840
Mnaleta siasa kwenye sayansi inafikia hatua mnauza udokta na uprofesa kwa kujuana kama pipi
Bado hamjanielewa yaani namaanisha usomi unatakiwa uonekane sio makaratasi peke yake badala yake msaada jamii ni kama ukiangalia vizuri yeyeyote anaemsifia janabi nyuma ya pazia ni kama hua anaangua kicheko.
 
Mbona hiv vitu tumekula tangu tukiwa mimba mpaka leo tunazeeka hakuna shida hasa huko vijijin
 
Janabi kuna thread hapa JF nilikuwa namsema sana kwamba anabumbabumba mambo.

Watu wengi wakawa hawanielewi.

Sasa labda kasema mtu aliyechambua biochemistry mnaweza kuelewa.
Kumbe ulishamsanukia kitambo mkuu🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…