miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,511
Jamani huyu mzee ni MGONJWA hakuna taarifa rasmi za daktari kwamba ALIPONA ni kiherehere chake tu.
Hawa ndio wanamfanya hata Mh.KAIRUKI kuja na wazo la kutoajiri above thirty(30) maana hawa watu ndio mwisho wao wanakuwa kama huyu waziri.....bendera fuata upepo!