johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,126
- 164,527
Wamesema Mwakyembe hajui sanaa ndiomana anaona utajiri kama ndio mafanikio ya msanii.Pia hajui kama siasa ni maisha ya kila siku hivyo waziri si mwanasiasa bali ameajiriwa na siasa.My take;mafanikio ya msanii yanapimwaje, ni wingi wa mali alizochuma kupitia sanaa au faida chanya ambayo sanaa yake imewrezesha/sababishia jamii?Source Clouds Alasiri