Prof. J featuring JK.

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Nilikuwa nasikiliza tbc fm mchana leo mara wakapiga kibao cha prof j cha "ndiyo mzee" nikaanza kukumbuka kipindi cha kampen jk alivyokuwa anarap ahadi mf. Nitajenga machinga complex kila wilaya kwenye majiji, kuweka tanga kuwa kitovu cha biashara east and central africa, kujenga viwanja vya ndege kwa level ya kimataifa n.k. Kwa kweli prof j aliongea na kutuonyesha namna wanasiasa wanavyodanganya ila hatukumsoma prof j. Next time inabid wakati wa kampen vyombo vya habari viupige sana wimbo huu pengine watz watapata uelewa kidogo. Naomba kuwakilisha.
 
Katika wanamuziki wa Tz wenye ujumbe kwa jamii na nyimbo zao zinaweza kusikilizwa na watu wa rika zote ni Prof.Jay. Siyo hicho tu kibao cha "Ndio mzee" bali pia vibao kama "Msilie", "bongo dar es salaam" na vingine vingi ambavyo vinagusa maisha ya kila siku ya mtanzania. Nyimbo hizi zilipigwa zamani kidogo lakini hata ukizisikiliza leo ukalinganisha na mambo yanatokea leo hii unaweza ukadhania ametunga baada ya hayo matukio kutokea.
Namkubali sana Prof.Jay.
 
Back
Top Bottom