Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Jiwe ndio dereva Ndugai ni tingo tu.
Mihimili mitatu inatoka wapi wakati Jaji mkuu anateuliwa na Rais......Naye Spika wa bunge anapatikana baada ya kamati kuu ya CCM ambayo Mwenyekiti wake ni Rais wa JMT kuupitisha jina lake. Ni kama vile wakuu wa mihimili miwili unayoiongezea wanateuliwa na Rais!Kila mwananchi boss wake ni katiba kwa sababu ndani ya katiba ndio tunapata sheria ambazo zinatufanya tuzifuate na kushindwa kuzifuata unajikuta ndani ya kuta za magereza, kupoteza mali au kazi.
Hata sheria zikienda kinyume na boss wa sheria ambaye ni katiba, zitakuwa hazifai na inabidi zibadilishwe au zifutwe.
Ieleweke kuwa nchi ina mihimili mitatu ya dola na kila taasisi/mfanyakazi katika sekta ya umma lazima awe ndani ya muhimili mmojawapo kati ya hiyo mitatu.
Hoja ya msingi CAG kama taaasisi/mfanyakazi wa sekta ya umma anaangukia kwenye muhimili upi wa dola?
CAG ni mtu fullstop!Unazungumzia CAG siyo Assad, Assad ni mtu na CAG ni cheo sasa unaposema kila mtu, CAG ni mtu?
Well said!Kila mwananchi boss wake ni katiba kwa sababu ndani ya katiba ndio tunapata sheria ambazo zinatufanya tuzifuate na kushindwa kuzifuata unajikuta ndani ya kuta za magereza, kupoteza mali au kazi.
Hata sheria zikienda kinyume na boss wa sheria ambaye ni katiba, zitakuwa hazifai na inabidi zibadilishwe au zifutwe.
Ieleweke kuwa nchi ina mihimili mitatu ya dola na kila taasisi/mfanyakazi katika sekta ya umma lazima awe ndani ya muhimili mmojawapo kati ya hiyo mitatu.
Hoja ya msingi CAG kama taaasisi/mfanyakazi wa sekta ya umma anaangukia kwenye muhimili upi wa dola?
Upo sahihi 100%Spika ana upeo mdogo sana. Bado hajui wajibu wake(anataka kufanya kazi za serikali), hajui mipaka yake(anadhania kuwa spika ni kuwa juu ya watu wengine) na hajui haki za watu wengine(analazimisha kuingilia haki za watu wengine).
Binafsi huwa ninamuonaga kama mtu fulani hivi wa ovyo ovyo.
Unajitahidi kupotosha. Hongera!Kila mwananchi boss wake ni katiba kwa sababu ndani ya katiba ndio tunapata sheria ambazo zinatufanya tuzifuate na kushindwa kuzifuata unajikuta ndani ya kuta za magereza, kupoteza mali au kazi.
Hata sheria zikienda kinyume na boss wa sheria ambaye ni katiba, zitakuwa hazifai na inabidi zibadilishwe au zifutwe.
Ieleweke kuwa nchi ina mihimili mitatu ya dola na kila taasisi/mfanyakazi katika sekta ya umma lazima awe ndani ya muhimili mmojawapo kati ya hiyo mitatu.
Hoja ya msingi CAG kama taaasisi/mfanyakazi wa sekta ya umma anaangukia kwenye muhimili upi wa dola?
Hee! hivi bado kuna wenzetu wanaoamini nchi ina mihimili mitatu!! badala ya ''executive yenye branch'' zake mbili na taasisi nyingine!Ieleweke kuwa nchi ina mihimili mitatu ya dola na kila taasisi/mfanyakazi katika sekta ya umma lazima awe ndani ya muhimili mmojawapo kati ya hiyo mitatu.
Mda mwingine huwa naona tuna maprof koko,Yaani concept ndogo tu ya nani bosi wa CAG Hajui?Hivi kuna Mhimili unaitwa katiba?Unaulizwa Boss wa CAG ni nani unasema NI KATIBA?Kila mwananchi boss wake ni katiba kwa sababu ndani ya katiba ndio tunapata sheria ambazo zinatufanya tuzifuate na kushindwa kuzifuata unajikuta ndani ya kuta za magereza, kupoteza mali au kazi.
Hata sheria zikienda kinyume na boss wa sheria ambaye ni katiba, zitakuwa hazifai na inabidi zibadilishwe au zifutwe.
Ieleweke kuwa nchi ina mihimili mitatu ya dola na kila taasisi/mfanyakazi katika sekta ya umma lazima awe ndani ya muhimili mmojawapo kati ya hiyo mitatu.
Hoja ya msingi CAG kama taaasisi/mfanyakazi wa sekta ya umma anaangukia kwenye muhimili upi wa dola?
Anaweza mpa kazi na anayeweza mfukuza kazi kwa taratibu zozote zile ndio Boss.Our starting point is this: WHO APPRAISES CAG? Kuna mfumo wa kupima utendaji wa watumishi wa serikali, OPRAS, nani anampima CAG. Nadhani hii inaweza kutupa mwanga boss wa CAG ni nani! To me I concur with Shivji, boss wa CAG ni Katiba.
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
OPEN PERFORMANCE REVIEW AND APPRAISAL FORM (To be filled in Triplicate)
From: July … …. to June … ……….
This Form replaces all other appraisal forms in the Public Service Institutions. It is intended to meet the requirements of the performance management system and development process.
NOTES ON HOW TO FILL THIS FORM:
1. This Form must be filled by all employees in the Public Service Institutions. For principal officers and above, at the end of the year, once fully completed, the original should be sent to the Permanent Secretary (Establishments), duplicate to the respective Head of organisation and triplicate to the public servant concerned. All other employees (senior officers and below) original copy should be sent to the Chief Executive Officer of the organization, duplicate to the parent ministry of the specific cadre and the triplicate to the public servant concerned.
CAG anaangukia wapi?
Jamaa ana kibri sana. Ukijojiwa mbele yake unaweza kumtwisha ndoo!!
Kwa jinsi kinga ya CAG inavyojadiliwa humu utasema CAG ni kama Rais tu.Huu mjadala naushangaa sana. Kinga ya CAG inaanza na kuishia kwenye shughuli zake za ukaguzi tu. Mwenye kinga ambazo tumezipigia kelele muda ni Rais tu lakini wengine wote kuna namna wanajibika nje ya majukumu yao ya kawaida. Tuache kuchagua upande wa mijadala kwa mitazamo ya viongozi wa vyama vyetu ( wala si misimamo rasmi ya vyama).
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mwananchi boss wake ni katiba kwa sababu ndani ya katiba ndio tunapata sheria ambazo zinatufanya tuzifuate na kushindwa kuzifuata unajikuta ndani ya kuta za magereza, kupoteza mali au kazi.
Hata sheria zikienda kinyume na boss wa sheria ambaye ni katiba, zitakuwa hazifai na inabidi zibadilishwe au zifutwe.
Ieleweke kuwa nchi ina mihimili mitatu ya dola na kila taasisi/mfanyakazi katika sekta ya umma lazima awe ndani ya muhimili mmojawapo kati ya hiyo mitatu.
Hoja ya msingi CAG kama taaasisi/mfanyakazi wa sekta ya umma anaangukia kwenye muhimili upi wa dola?
Hahahahahah mwenyewe nimeshangaa sana.Yaani boss wa CAG ni KATIBA hahahahahahah. Kwahiyo hata mawaziri nao boss wao ni KATIBA. Tuna wasomi UCHWARA sana"HANA BOSI. BOSI WAKE NI KATIBA"
Ushasema hana bosi, anakuwaje na bosi katiba tena?
Hawa ndio wanazuoni wanaofundisha vijana wetu logic pale University of Dar-es-Salaam.
Na UD ndio moja ya vyuo vikali Afrika.
Halafu unajiuliza kwa nini weusi akili zetu zimedumaa?