yupo New York City Nchini Marekani, mbona alituaga hapa anakwenda kusaidia Dunia, wewe upo wapi? Tatizo la huyu mtu kuitwa Ibrahimu angekuwa Abraham saa hizi ndio Rais
Acha uongo aliondoka hapa nchini siku moja kabla ya uchaguzi wa igunga, Are you not a great thinker?Amejificha baada ya kuambulia kura 2000 huko Igunga
Acha udini wewe[/QUOTE
Udini maana yake nini? Umuhimu wa Lipumba unaonekanaje huko nje na hapa ushindwe kuonekana?
sio kosa lakoyupo New York City Nchini Marekani, mbona alituaga hapa anakwenda kusaidia Dunia, wewe upo wapi? Tatizo la huyu mtu kuitwa Ibrahimu angekuwa Abraham saa hizi ndio Rais
Jamani, mwenyekiti wa chama cha wananchi (CUF) Prof.Hibrahimu Lipumba yuko wapi? mbona yupo kimya sana?
Inakuwaje viongozi wenzake wa vyama vya upinzani kama CDM na NCCR mageuzi wako busy katika kupigania upa
tikanaji wa katiba mpya alafu yeye yupo kimya? nyie CUF vipi? kama sijakosea nakumbuka huyu bwana mara ya
mwisho nilimuona kwenye ufunguzi wa kampeni jimbo la Igunga na kutoka hapo sijamuona wala kumsikia tena kupi
tia vyombo vya habari hadi leo hii. Tatizo ni nini? au ameshajikatia tamaa na hiki chama chake? na je,kwa sasa yuko wapi?
mjibu mwenzio usimbabaishe na mambo ambayo hajakuuliza.mshikachuma,baada ya maalim kupata ulaji smz,ccm A wamemtafutia prof ulaji pale un.atakuwa huko akila bukini kwa miezi sita hivi.unahamu ya kujiunga na CUF nini ???? Mbowe ameshindwa anaatafuta msaada wa Lipumba?????